Hii taarifa ni sahihi na ni nyaraka muhimu ya ushindi mahakamani,tatizo ni papara za Mwingira na unabii wake! ameibiwa mgogoro mkubwa na waislamu na sasa anatuhumiwa kuchoma koran. mshauli atulie Mahakama itende haki na sio Fanaticism.Hakuna imani inayotuongoza kuharibu mali za Waislam.Huwezi kumutetea Mungu kwa uhalifu halafu ukasema amekugania,huo ni upotofu!Wanajf katika gazeti la mwananchi la leo imetolewa taarifa kwa umma kuhusu ukweli wa umiliki wa kiwanja kinachogambaniwa kati ya Efatha na Afro Plus pamoja na sakata zima la polisi. taarifa imeambatanishwa karibu
Mungu aliye hai atasimama katika hili na itajulikana nani ni miliki halali na kama walivyo fanyiwa efatha ni haki au la!
Mbona mig0goro ya ardh inamuandama xana mwingra?
Bagam0yo aliparuana na wanakijij,cjui imeisha?
Kulingana na habari zilizotolewa Jumatatu na Jumatano kupitia TElevisheni ya ITV, inaonekana wazi mmiliki halali wa Kiwanja ni Efatha Foundation.
Kinachosikitisha ni kwamba maamuzi ya Court (mahakama) hayajafuatiliwa na Afro Plus kama ilivyo Tenants (wapangaji) makampuni mengine waliokwisha ondoka mahali hapo akiwemo SIMION Engineering n.k.
Sasa kama Efatha walinunua hiko kiwanja kwa ajili ya matumizi yao, Watakaa na kusubili mpaka lini huyo mmoja Afro plus aliyebaki aondoke?
Serikali iko wapi?, Wasilaumiwe wamevunja Sheria, SERIKALI INACHANGIA katika hili, ila kama hawapo tayari basi MUNGU Atawasimamia watoto wake.:nod:

Mwingira ana miliki benk,estate sumbawanga,kibaha na bagamoyo na fedha nyingi tu!lakini vyanzo vya mapato havijulikani!
Mwingira ana miliki benk,estate sumbawanga,kibaha na bagamoyo na fedha nyingi tu!lakini vyanzo vya mapato havijulikani!
hawa watauana, jamaa kazua timbwiri na waislamu sijui litaishaje.
Ila wamekosea sana kuchukua sheria mkononi hapa inabidi sheria ifanye kazi kweli haijalishi eneo lilikuwa lake au lah as long as kesi ilikuwa mahakamani.
Halafu huu mgogoro ulikuwa between mwingira na mwenye kiwanda sema jamaa kaufanya ugeuke wa dini sidhan kama kingekuwa kiwanda cha kutengeneza bible kama wakristo wangelichukulia ni mgogoro wa kidini pia.
Na haya makanisa yan siri nyingi aisee japo kila mtu ana uhuru wa kuabudi lakini kuna siri nyuma ya haya makanisa yanayo ibuka kila la leo