vukani
JF-Expert Member
- Dec 30, 2009
- 245
- 165
Jamani mie ni mgeni mwenyeji, kwani ni siku nyingi nilikuwa mfuatiliaji wa mtandao huu lakini mwenzenu nilikuwa sijaamua kujiunga kutokana na kuzidiwa na masomo, nilikuwa bado nakariri ujinga.
naomba mnipokee mwenzenu na mnisaidie katka kuniongoza.
Naomba kukaribishwa.
Ahsanteni sana
naomba mnipokee mwenzenu na mnisaidie katka kuniongoza.
Naomba kukaribishwa.
Ahsanteni sana