Ujio wa JK Arusha12/11/2011, wenyeji waapa hawatakanyaga pale Stadium! Kisa!

Katika ile ilichotarajiwa na wengi hp A town nakwambieni ya kwamba hapa uwanjani hakunaga mtu zaidi ya watoto wa shule ya msingi,ingali wanajitahidi kuwahamasisha raia,lakini hata dalili wa wenyeji kuingia hapa uwanjani hakuna na mpk hivi sasa hbr toka kwa mtandao wa Intelejensia inasema ****** jk amehepa ujio huu kwa ajili ya usalama. Tusubirie na tuone!
 
hapo hawata kawia kwenda monduli kuwasomba watu na malori na wakiwakosa watasema jk hajahudhuria shughuli hiyo kutokana na kuwepo tishio la alshabab.
kama kweli alshabab wapo nawachukia mnno kwani wanakwamisha mambo mengi ya msingi.
 
Wala hamkosei, wana wa CCM tutakuwepo tena kwa wingi nyie bwabwajeni tu but we will be their kama nyie mnavyo kusanyika nje ya mahakama.

we nunda vipi haya anza kuwafundisha hisabati hao watoto wa shule hapo uwanjani.
 
Back
Top Bottom