Ujio mpya wa cuf

ujio mpya wa cuf baada ya kujigambua. Umekuwa gumzo kila kona mwa jiji la dar es salaam wengi wakisifu. Nawengine kuponda basi yote kwa yote ni gumzo mtaani sijui vilomo wahumu especialy wale wenye hasira na cuf sijui watapasuka. Nakesho kwa mapokezi ya lipumba sijui vilimilimi watatokwa roho

kwani lipumba atamfukuza kalumekenge aliyemfukuza hamadi. yote kwa yote mkuu tuko level ingine. haturudigi kumuunga mkono asoshikamana, mfano nccr, tlp umd, kwa pamoja ccm na cafu. jifunzeni falsafa ya kamari, mtaliwa hadi muarifiwe nauli ya kurudi home na wake zenu mshawaweka rehani!!!!!!!!!!!! sasa hivi tunachangishana kuikomboa nchi, kalumekenge kalewa eskoti, ruzuku na sasa mvinyo ya pensheni.
 
Ni nadra sana watu kukasirikia wagonjwa mahututi. Na hizi habari za kusema kuwa ujio wa Lipumba ni gumzo umezifanyia uchunguzi wapi wapi? Mimi navyoijua CUF na kwa kuzingatia maneno yako, lazima utakuwa unaishi Buguruni. Mtu wa buguruni akiona watu wamejaa Bungoni mpk Amana si ajabu akasema mji umefurika.

Mimi binafsi nimeongea na watu wa nyumbani lkn sijasikia mmoja wao akizungumzia huyo mtu. Kama ni special kwako, let it be lkn sio kuwasemea wengine. CUF ilikwishakufa kitambo

sio bure wewe
 
Back
Top Bottom