Ujinga watu hufanya facebook!

Nashauri invisible na jopo zima ktk jf waweke page ya interview unapoanza registration ili kuwapata true thinkers mana vilaza wamekuwa wengi sana!
 
bado huja hit the point! Usikute huyo anae pokea 2likes na 3commets ana friends 3 tu!

hamna kaka hatakama una friends mia sita asilimia ya wa2 kukuchukulia serious kwa jambo unalolisema ni kdg lkn mwanamke anakuzwa sana fb hata akiandika ujinga wa2 watamkubali
 
Kuexpose family issues zenu fb,eti "i loath u dad" eti cjui my mam thnk...." au "i hate my family",fb aint ur diary so dnt expose issue zako kule,and not all frnds on fb r ur frnds!

Sheria za Facebook zinakataza mtu kufanya ile diary yake?
 
Kutupia profile photo zile za photo point tu ili aonkane mrembo na kupata request nyingi hawa ni mcsta du wa fb.
 
Maduu wengine wanajidai kutojibu friend request ili zijikusanye aonekane anapendwa...pumbavu zao..... Pia sipendi ile tabia ya washkaji ku'comment na ku'like status and photos za madem tu. Yaani hawana kazi zaidi ya kusubiri status za madem.
 
Mawazo mgando peleka kule!unajua upo jukwaa gani kwnz?hili sio jukwaa la siasa!kilaza wa kwnz ni wewe!
Nashauri invisible na jopo zima ktk jf waweke page ya interview unapoanza registration ili kuwapata true thinkers mana vilaza wamekuwa wengi sana!
 
kitabu suuura, kiacheni bana watu wauze nusu sura zao, tuendelee na mambo yetu ya jamii yetu, kitabu suura mambo ya ughaibuni, JF home banaa, hata ulaya pana pata.
 
Watz bana, na sie hatujambo, kwa kukurupuka tuu! Utasikia 'nicheck kwe facebook', Haya bwana yangu macho.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom