ujinga au upungufu wa shule viongozi wa uamsho wa zanzibar

August

JF-Expert Member
Jun 18, 2007
8,386
4,046
nashindwa kumuelewa huyu sheikh anaye wadanganya wanzanzibar kuhusu mambo ya uchumi, hajui kwamba bakhresa kafuata soko kubwa la ngano yake nk, hata amerika hawaiachi china maana ni soko kubwa na hivyo hivyo kwa zantel, hiyo kodi mara mbili anajua mambo ya double taxation na relief zake au ndio huo ushehe ubwabwa. kodi ikiwa anzibar ni 10% na bara ni 20% basi ukishusha zanzibar halafu mzigo ukauleta bara basi ni lazima ulipie hiyo difference.
na ukizungumzia huo uislamu wa mweupe na mweusi na uhusiano wa bwana na mtumwa , sasa kama wao weusi wanaona ufahari wa kuwa watumwa basi waendele na msimamo wao
 
Sheikh ubwabwa anadai hata kama Muungano utavunjika hivyo viazi wata vipata, wakati ndani ya hotuba yake kasema mtu kuwa na elfu tano ni shida, sasa kwa mantiki hiyo hicho kiazi wata nunulia nini?
Halafu elimu yake ilivyo ndogo anashindwa kuelewa kwamba siku hizi wabara hawaendi zanzibar kununua fulana, nk kwa kuwa trade liberalisation imewezesha vitu hivyo kupatikana nchi zima bila shida.
Nao wapemba walipo Namanga ya Dar es salaam wanajenga dar kwa kuwa ndiko wanapopatia hizo pesa zao , sasa wakijenga pemba hizo nyumba atapangisha nani wakati hata bill ya umeme mnashindwa kulipa.
 
Mkuu tuache ushabiki kuna aliyoongea yana logic kubwa sana, Ile ni nchi mkuu TATIZO IMEVAMIWA NA MAFISADI WA TANGANYIKA NA KUIHARIBU KABISA, sisi huku kila siku tunalalamika ubadhilifu wa mali ya umma ina maana wameungana na mijizi!
 
Sheikh ubwabwa anadai hata kama Muungano utavunjika hivyo viazi wata vipata, wakati ndani ya hotuba yake kasema mtu kuwa na elfu tano ni shida, sasa kwa mantiki hiyo hicho kiazi wata nunulia nini?
Halafu elimu yake ilivyo ndogo anashindwa kuelewa kwamba siku hizi wabara hawaendi zanzibar kununua fulana, nk kwa kuwa trade liberalisation imewezesha vitu hivyo kupatikana nchi zima bila shida.
Nao wapemba walipo Namanga ya Dar es salaam wanajenga dar kwa kuwa ndiko wanapopatia hizo pesa zao , sasa wakijenga pemba hizo nyumba atapangisha nani wakati hata bill ya umeme mnashindwa kulipa.

Hivyo niulize usali kwa nduguzangu wa kitanganyika, viazi ambavyo vinatoka tanganyika hua vinagawiwa bure kwa wazanibari? maana hoja hizi zimekua nyingi huko Tanganyika.

ukiangalia bei ya vitu vyote (vyakula) vilioko zanzibar utakuta ni rahisi kuliko bei ya tanganyika kuanzia mchele sukari nk. na hii ni kwasababu vitu hivyo vinatoka nje sio Tanganyika ni viazi na nyanya na vitunguu ndio hutoka Tanganyika.

Sasa sijaona hoja ya kuwatia wazanzibari woga utakapo vunjika muungano, lakini pia iwe vitu vyote vina Toka Tanganyika basi bado Ukivyunjika Muungano Watanganyika wanalihitaji soko la Zenji kwasababu wakulima wanauza na hawagawi bure. Lakini waseme wasiwauzie basi kenya wanalihitaji soko hilo na China ilioko mbali pia inalihitaji soko hilo na huenda ikawa vitu Rahisi zaidi. kama unavyoona vitunguu Vinavyokuja bongo kutoka South Afrika Na india vilivyo rahisi hapo Bongo.
 
nashindwa kumuelewa huyu sheikh anaye wadanganya wanzanzibar kuhusu mambo ya uchumi, hajui kwamba bakhresa kafuata soko kubwa la ngano yake nk, hata amerika hawaiachi china maana ni soko kubwa na hivyo hivyo kwa zantel, hiyo kodi mara mbili anajua mambo ya double taxation na relief zake au ndio huo ushehe ubwabwa. kodi ikiwa anzibar ni 10% na bara ni 20% basi ukishusha zanzibar halafu mzigo ukauleta bara basi ni lazima ulipie hiyo difference.
na ukizungumzia huo uislamu wa mweupe na mweusi na uhusiano wa bwana na mtumwa , sasa kama wao weusi wanaona ufahari wa kuwa watumwa basi waendele na msimamo wao

tizama dubaii ni kituo cha biashara sasa zanzibar ni nchi ambayo duniani inajulikana kama ni kituo cha biashara ila wewe rudi kwenye historiya na alama za wakatiii
ADUWI WA MUUNGANOO NI WAKATIII UKIFIKA TU YERERRE ALISEMA SITA WAPIGA MABOMU WAZANZIBAR PINDI TUKIKATAA MUUNGANO KARUME MUUNGANO NI KAMA KOTI LIKIKUCANA UNALIVUAA SASA Salma Said | Facebook:A S-baby:
 
wakimdhuru mbara hata mmoja nasi tunaibuka na ''kata kuchaaa"" kwa wapemba walioko bara
 
Back
Top Bottom