Ujiko mwingine bana!

Daz Chief

New Member
May 11, 2011
2
0
Baada ya kumaliza degree yake ya sheria mlimani Bwana Rwegoshora aliamua kurudi nyumbani Bukoba mjini na kufungua ofisi yake kwa ajili ya kuhudumia clients(wateja) . Siku ya kwanza wakati ndio amefungua ofisi yake,alimuona kijana mtanashati anakuja kuel...ekea ofisini kwake.Hapo ndipo alipoanza kunyanyua mkono wa simu ya TTCL,wakati anajizungusha kwenye viti virefu. Wakati kijana alipokaribia Rwegoshora alionesha kumkaribisha wakati anaongea na simu,alisikika akiongea ''No.no, no, Absolutely no, You tell those clowns in New York that I won't settle this case for less than one million. (pause) Yes, yes . The Appeals Court has agreed to hear that case next week, I'll be handling the primary argument and the other members of my team will provide support. Okay. Pliz dont forget to tell the State Prosecutor that I'll meet with him next week to discuss the details." Yule kijana ametulia tu anamuangalia bwana Rwegoshora anajinyonganyonga kwamuda zaidi dakika 5. Baada ya kumaliza kuongea na simu,bwana Rwegoshora alielekea kwa huyu jamaa. ''Samahani sana, kwa kukupotezea muda wako, unajua tena kazi zetu hizi unaumiza kichwa sana,kama unavyoona tena mwenyewe hapa, yaani niko busy sana, ninapokea simu mpaka nimechoka mwenyewe. enh by the way, what can i do for you? Jamaa alijibu. '' Mimi ni mfanyakazi wa TTCL,nimekuja kuunganisha line yako ya simu kwani haipo hewani''.
 
duh! hivi jamani hawa jamaa ni kweli wapo hivi au basi ni kasumba ya kabila!!
 
Ili kuua so, angemwambia tu kuna mwenzako ametoka hapa sasa hivi na ndo aliyeunganisha ndio maana nimeweza kuwasiliana.
 
Hii nimeipenda,aaaah ukiishi kule lazima ujue maneno kama obvious,infact,yes&no,never e.t.c,ata kama ujui maana.
 
Back
Top Bottom