Uji unaokoa mahudhurio mashuleni.......................

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,173
<table width="100%" align="left" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"><tbody><tr bgcolor="#ffffff"><td class="kaziBody" bgcolor="#ffffff">Saturday Jan 29, 2011
</td> </tr> <tr bgcolor="#ffffff"> <td class="kaziBody" bgcolor="#ffffff">
01_11_my5p0t.jpg
</td> </tr> <tr bgcolor="#ffffff"> <td class="kaziBody" bgcolor="#ffffff">Standard One pupils at Biharamulo Primary School in Kagera Region get their share of porridge for breakfast. Dishing out the porridge are fellow pupils Alice Josam (right) and Eric Elias. Looking on is their teacher, Ms Melania Gema. The school provides porridge to all pupils daily. This is part of the school’s feeding programme. (Photo by Mgaya Kingoba)</td></tr></tbody></table>
 
Wakati wadau wanalalamikia matokeo ya kusikitisha ya kidato cha nne ambapo asilimia hamsini wameambuli patupu................swali kubwa kuliko yote ni uhusiano wa moja kwa moja kati ya mahudhurio mashuleni na lishe ambayo majumbani sasa hivi imekuwa ni adimu...............................................................kutokana na kupanda kasi ya ufukara........................
 
<table width="100%" align="left" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"><tbody><tr bgcolor="#ffffff"><td class="kaziBody" bgcolor="#ffffff">Saturday Jan 29, 2011
</td> </tr> <tr bgcolor="#ffffff"> <td class="kaziBody" bgcolor="#ffffff">
01_11_my5p0t.jpg
</td> </tr> <tr bgcolor="#ffffff"> <td class="kaziBody" bgcolor="#ffffff">Standard One pupils at Biharamulo Primary School in Kagera Region get their share of porridge for breakfast. Dishing out the porridge are fellow pupils Alice Josam (right) and Eric Elias. Looking on is their teacher, Ms Melania Gema. The school provides porridge to all pupils daily. This is part of the school's feeding programme. (Photo by Mgaya Kingoba)</td></tr></tbody></table>

Jamani picha hii inanikumbusha mbaaaali sana wakati ule hata sisi tulikua tunapata UJI kwa kweli mahuzurio ya wanafunzi wakati ule yalikua nimazuri sana! Ruta nakupa BIG UP kwakuweka post hii ikiambatana na hiyo SNAP!:clap2:
 
Thanx kwa picha, huu ni mpango maalum "food for education" nawish tanzania yote hasa vijijini wangekuwa na hii programme, inasaidia sana kumahudhurio na perfomance ya wanafunzi.
 
Hapo enzi zangu nlikuwa nikishakunywa uji nasepa mazima kesho tena kuonana.
 
Hii ni initiative nzuri kwa shule na ushirikiano wa wazazi na jamii kwa ujumla unatakiwa ili utaratibu huu uwe wa kudumu. Takwimu zinaonyesha watoto wanaopata chakula shuleni wanafuatilia masomo zaidi na wako likely kufaulu kuliko wasiopata chakula.
 
Kwa kweli hili ni jambo ni muhimu, hebu fikiria unanjaa hadi kichwa kinauma halafu mwalimu anafundisha 'squareroot' si balaa jamani..
 
Back
Top Bottom