Ujerumani Yaipa Tanzania Euro Milioni 176 Kwaajili Ya Maendeleo

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
[h=2]SATURDAY, APRIL 28, 2012[/h][h=3][/h]



Katibu mkuu wa wizara ya fedha Bw. Ramadhani Khijjah kushoto.na
Mkurugenzi wa ushirikiano na maendeleo wa Africa mashariki wa Ubalozi wa Ujerumani Dr. Ralph
Mohs kulia.wakisaini msaada wa EURO 176 million kutoka serikali ya
ujerumani kwa ajili ya kusaidia miradi mbalimbali ya maendeleo hapa
nchini Tanzania.ulofanyika jana katika ukumbi mikutano wa wizara hiyo
jijini Dar es salaam.


Katibu mkuu wa Wizara ya fedha Bw. Ramadhani Khijjah kushoto.na
Mkurugenzi wa ushirikiano na maendeleo wa Africa mashariki wa Jumuiya ya Ulaya Dr Ralph
Mohs kulia.wakikabidhiana nyaraka za mkataba wa msaada huo.


Baadhi ya waandishi wa habari walioudhuria katika utiaji saini wa mkataba huo



 
Waandishi wa habari huwa wanahudhuria, wanauliza Maswali gani?

Wanauliza maswali ya kiunafiki au magumu ya kujua hizo pesa zinakwenda kwenye Maendeleo au kwenye mifuko ya

Viongozi Mafisadi?
 
Donor Syndrome......aluta continuo!mkiambiwa cameroon oh!Hivi mnajua kuwa hizi pesa hawa jamaa wanazotupa misaada babu na baba zao walitoil kuzitengeneza?sisi viongozi wetu wanakula mbegu na wanashikana mikono kwenye sahani na watoto zao!
 
Ingekuwa mimi ndiyo huyo katibu mkuu ningeona aibu kutia saini hizo nyaraka za huo msaada!
 
Ulaji huo umeletwa... Kina 'shubash patel' jiandaeni...
 
Ooh what a greate oportunity!

Kwa wale ambao bado hawajanunua majumba ya kifari nafasi ndo hiyo,
wajerumani wameshawawezesha ni nafasi yenu kutuchakachua wananchi.
 
Wow,
Great nyuuuzi.
Ni ushahidi mwingine kuwa wafadhili wanaridhishwa na utendaji wa serikali iliyopo madarakani.
 
ni msaada au mkataba?

nini tofauti?

naomba kueleweshwa.
Msaada wa Mkpo Nielewavyo mimi...

Na Mikopo hii ya Maendeleo hugeuka Deni liitwalo deni la Nje na Wahisani huwa Wanazidai nchi husika pale wanapoona hakuna maendeleo hakuna au yametekelezwa kiubabaishaji ...
we siku za mbele utajasikia deni la taifa la nje limeongezeka!... huu ni upuuzi mkubwa wanaotufanyia viongozi wetu ops..sorry ni Watawala wetu pichani watiao Sahihi
 
Back
Top Bottom