Ujenzi wa Terminal III ya J.K Nyerere International Airport waanza

NDINDA tunaomba current photos
julius-nyerere-airport-terminal-3-tanzania-14-616-14623742822070721021.jpg


julius-nyerere-airport-terminal-3-tanzania-08-616-14623742751323495749.jpg


julius-nyerere-airport-terminal-3-tanzania-12-616-14623742801098359068.jpg


julius-nyerere-airport-terminal-3-tanzania-11-616-1462374279343087089.jpg


julius-nyerere-airport-terminal-3-tanzania-09-616-14623742761213883910.jpg


julius-nyerere-airport-terminal-3-tanzania-13-616-1462374281508948065.jpg


julius-nyerere-airport-terminal-3-tanzania-16-616-14623742851959376991.jpg


julius-nyerere-airport-terminal-3-tanzania-15-616-1462374283816644144.jpg


julius-nyerere-airport-terminal-3-tanzania-07-616-14623742741883300475.jpg


julius-nyerere-airport-terminal-3-tanzania-10-616-14623742772024992679.jpg


julius-nyerere-airport-terminal-3-tanzania-17-616-146237428640261275.jpg


Images credit: BAM International
 
Kuna vingine havihitaji porojo sasa hapo kampuni ngapi za wazawa zenye uwezo wa kufanya mradi kama huo, Nchi za wenzetu kina nani hao wenzetu?
Kuna wakati lazima tukubali ukweli kuwa bado hatuna uwezo lakini tunakua, Tanzania ya miaka 50 iliyopita ni tofauti na ya leo, Hao wanaoziangalia kompyuta hawakuibuka na kujikuta wanaziangalia tu
 
Watasingizia wazawa hawana skills za kuangalia,kwenye kompyuta.
Hapo sio skills tu mkuu, Tender yenyewe ni kampuni ya wazungu, Haya niambie kwa skills tulizonazo na kampuni zetu wazawa ni ngapi zinao uwezo wa kufanya project kama hiyo, nikimaanisha wataalamu, Vifaa, uchumi na uzoefu.
 
Weusi kwenye kusakafia na weupe kwenye computer... Nchi za Wenzetu mzawa kwenye komputer na mgeni ndio sakafuni
Hakuna mkuu, hiyo ni office moja tu, tena sehemu ndogo ya office, watanzania wapo kibao na wanaheshimika. BAM International sio wabaguzi kama makampuni ya kihindi na kichina, jamaa wako fair sana wanajli utu wa mtu. Ata training zao unaweza kuomba kwenda ukalipiwa kila kitu hata kama ni nje ya nchi.
 
Wewe ni zaidi ya janga, hata kama ni hizo buku7 lakini muwe mnaangalia na pa kuleta masikhara.
Jamaa anasikitika tuna ndege 1 wewe unamuuliza alitakaje?
Sasa hakusikia kama zinakuja mpya 3 ? Au ndo kujitoa ufahamu. Infact mi sina chama. Mi ni mpenda naendeleo. Vitu vingine tufikiri kwanza ..tuweke siasa pembeni.
 
Hata kama ni nyumbu hana ujuzi umuweke tu kwenye computer????
Hapo sasa ni sawa na kutukana nchi nzima... Uliza kwanza wangapi wanamaliza vyuo faculty mbali mbali na hadi sasa wapo kitaa hawna kazi wacha nikutoe mtindio wa akili yako kichwani.. Nenda pale Wizara ya Kazi omba file la watu waliokuwa rejected kufanya kazi hapa Nchini ndio utajua wageni kazi wanazoomba au walizokuwa wakifanya miaka mingi uelewe kuwa tunajibania wenyewe hakuna Nyumbu na hao wageni wengi ndio Manyumbu...

Kama Akili Tanzania walionao ni wengi wasomi wengi sana wamepita pita kwa kuibia mitihani n.k siku ukianza msako watu wapewe tena mitihani na msimamizi ni camera live inawekwa on TV kudadeki
 
Hahahaha mkuu weupe wakisakafia mnaandamana mnasema wanafanya kazi za wazawa.
Mkuu kila kitu huwa kinakuwa na Sababu zake so It Depend na situation yenyewe...

Wajua hata Mandamano huwa na sababu zao huwezi sema Wapinzania wanaandamana sana... maana hata watawala wanakuwa na maandamano mengi tu sana ya aina tofauti tofauti so kama Dhana ya kumbania mtu inakuwa kwenye moyo wa mtu...

Zamani wakati wa chama Kimoja Maandamano hatari yalikuwa ni ya Yanga na Simba wakichukua Kombe either Uwanja wa Taifa au Uwanja wa Karume wanabeba kombe lao wanaandamana hadi Kariakoo kwao basi wenye maduka lazima wafunge na wasipofunga basi nihasara kwao
 
Hakuna mkuu, hiyo ni office moja tu, tena sehemu ndogo ya office, watanzania wapo kibao na wanaheshimika. BAM International sio wabaguzi kama makampuni ya kihindi na kichina, jamaa wako fair sana wanajli utu wa mtu. Ata training zao unaweza kuomba kwenda ukalipiwa kila kitu hata kama ni nje ya nchi.
Sasa BAM ni Chuo? kama kweli wameajili weusi idara nyeti ukweli huwa haujifichi
 
Back
Top Bottom