Ujenzi wa Terminal III ya J.K Nyerere International Airport waanza

mchlmmnl2

Senior Member
Jul 13, 2013
168
53
Ujenzi wa terminal 3 katika uwanja wa mwalimu JK Nyerere umeanza rasmi..
Source.. utawala.....
 
Attachments

  • 1391969860699.jpg
    1391969860699.jpg
    61.4 KB · Views: 4,312
Sasa hiyo picha uliyoweka ni ya nini...prototype au?

Halafu hilo jina lako broda majanga...hata kuquote inakuwa mkakati!!!
 
tunapanua viwanja vya ndege tuna ndege moja tu na za viongozi,ni Aibu kwa taifa.
 
Sasa hiyo picha uliyoweka ni ya nini...prototype au?

Halafu hilo jina lako broda majanga...hata kuquote inakuwa mkakati!!!

We paka wewe... jina kwani tatizo...? We mbona no Nyau Jimmy sijaongea
 
Ujenzi wa terminal 3 katika uwanja wa mwalimu JK Nyerere umeanza rasmi..
Source.. utawala.....

Hii picha niliiona toka mwaka juzi. Nenda site picha picha tuwekee. Hizi ulizoweka hata ukipita hapo eapoti unazikuta zimebandikwa
 
Za mwaka juzi sio hizi kama ww ni mchunguzi mzuri ujenzi wa kwanza ulitakiwa kufanikishwa na wachina ila tukashindwana nao masharti ya kuumiliki miaka 100.... hii terminal 3 inajengwa na selikari kupitia misaada
 
Nenda ground piga picha utuletee sio hizi concepts.

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Za mwaka juzi sio hizi kama ww ni mchunguzi mzuri ujenzi wa kwanza ulitakiwa kufanikishwa na wachina ila tukashindwana nao masharti ya kuumiliki miaka 100.... hii terminal 3 inajengwa na selikari kupitia misaada

Miaka 100 plus tembo wote ktk mbuga zetu,lahaulaah!
 
Kipindi hii post inaingia watu walizingua saiv ujenzi Kikwete kauzindua juzi watu wabishi kweli
 
hao ndio watanzania kila kitu kwao kibaya
1.mradi wa mabasi yaendayo kasi kwao ni ujinga na upotevu wa hela
2.daraja la kigamboni bado wanapinga wanaona halifai na halitaisha
3.uwanja huu bado tu wanalalamika mara ramani mbaya kama godown mara ulitakiwa ujengwe karne iliopita

yaani tabu tupu kila kitu wanalalamika na kukosoa.
 
Ramani ya Mchina ndo ilikuwa ya Ukweli huu uzushi tu

nyinyi ndio mnaodanganywa na vioo na marangi ya wachina ndio maana majumba yenu yamejaa hardware fake zinazong'aa kwa muda mfupi tu na kuharibika.
 
Hongera mkuu naona ushaingiza siku haya kachukue chako Lumumba uendelee na maisha
 
signature yangu inajieleza na yako inaonyesha wazi kwanini huangalii vitu kwa jicho lingine tofauti na kisiasa.
 
Back
Top Bottom