Augustine Moshi
JF-Expert Member
- Apr 22, 2006
- 2,554
- 1,382
(1) Ni sahihi kabisa alivyosema mmoja hapo juu kwamba kama hatutaki haraka katika kuanzisha EAC ni kwa nini tutake haraka kwenye kujenga makao makuu mapya?
(2) Tunasema siku zote tunakaribisha wawekezaji kwenye kilimo. Lazima wawekezaji wenyewe wawe Wazungu? Mbona hatuwapokei kwa shangwe hao wakulima toka Kenya?
(3) Ilibidi lazima ifike siku Kenya watafute namna ya kuweka presha. It takes two to tangle. Did Kamala and company think that we held all the cards? Hiwezekani kukosa ari ya kuungana na huku ukataka makao makuu ya mungano yawe kwako. You cannot eat your cake and have it!
(4) Wenzetu wote walijadiliana, kabla ya mkutano, namna ya kuweka hii presha. Watakuwa wamekubaliana nchi mbili ziwe neutral kwanza ili wasiiumize mno Tanzania. Ikibidi wataweka presha zaidi baadaye.