Ujenzi wa daraja la Kigamboni sasa kuanza mwakani

Kwani Mbowe alisharudisha zile fedha za NSSF, yeye ndiye anaechelewesha huu ujenzi kachota mamillioni ya mkopo hataki kuyarudisha, au ilikuwa ni mabillioni?
Si afadhari kukopa je waliochukua za EPA BOT na wapo wanatesa wanamaghamba huwaoni we vipi unamwona Mbowe tuu??????????
 
Mimi Tomaso mpaka nione, maana kila mwaka naona news ni hiyo hiyo, serikali kuongopea wananchi kama mazuzu. Serikali haiaminiki tena
 
Back
Top Bottom