Ujenzi bora wa mabanda ya kufugia kuku wa kisasa na kienyeji

habari wapiganaji wa kitanzania kwenye upande wa uchumi. sasa kuna post ya kwanza nilitoa mabanda machache tunayotengeneza. hivyo basi leo napenda kuwaonyesha sample nyingine ya mabanda tunayotengeneza. kwa maelezo zaidi karibu workshop ipo kituo cha mabibo hostel(mandela road), au waweza wasiliana nasi kuptia number ya simu +255 715805600 au barua pepe karibuni sana naomba kuwakilisha
Devon-Double9.JPG 2.JPG new-sussex-with-double-run2s.JPG new-kent-double-run3.JPG standalone.JPG new-sussex4.JPG walk-in-chicken-coop-1.jpg amy_cat_run_and_cat_house_with_security_porch_open_door_green-derbyshire.jpg james_extra_chicken_house_and_run-stoke.jpg
 
Ila kwa mazingira yetu, na hawa vibaka, kwa ulaya yanafaa sana na yanatumika huku ni lazima uwe na uzio wa uhakika la sivyo vibaka wanaweza beba zima zima. Kwa mtu mwenye uzio mzuri yanafaa sana.

Mkuu ume nena vyema...
 
Wanajamii wenzangu, ujasilimiamali umenipeleka kwenye idea ya kufuga kuku wa mayai. Nia yangu ni kuifanya hii kazi kitaalamu zaidi. Kwakuanzia natafuta mabanda ya kisasa ya kufugia kuku wa mayai yatakayokuwa fit for the purpose and cost-effective. Yeyote mwenye kufahamu juu ya Hilo naomba anifahamishe. Asanteni.
 
Karibu ila hujaeleweka unatafuta ili ukodi, ununue au? Kuanzia kuna mtu alitangaza kukodisha Mbagala na mwingine Tegeta sijui kama bado yapo wazi. Mtandao wa Zoom kuna mtu anauza Farm ina mabanda na vifaa vingine ila uwe na mtaji mkubwa 100ml kuendelea ni Bagamoyo.

yapo mabanda unatengenezewa.tafadhari wasiliana na hawa jamaa wamenisaidia. 0715805600
 
Jamani nami ni mdau nataka kuanza kufuga...namalizia utafiti wangu kwenye masoko ya kuku wa kisasa!naomba mwenye masoko anifungue kidogo!naomba PM kwa uharaka zaidi!
 
Asante sana kwa taarifa. Samahani kwakuchelewa kukujibu, nilikuwa safarini na mazingira ya huko hayakuniwezesha kuweza kuwa na mawasiliano. Mimi nahitaji kununua na kuyamiliki mwenyewe. Ninanafasi ya kutosha kwangu na ninahitaji kuyainstall hapa nyumbani kwangu.

Karibu ila hujaeleweka unatafuta ili ukodi, ununue au? Kuanzia kuna mtu alitangaza kukodisha Mbagala na mwingine Tegeta sijui kama bado yapo wazi. Mtandao wa Zoom kuna mtu anauza Farm ina mabanda na vifaa vingine ila uwe na mtaji mkubwa 100ml kuendelea ni Bagamoyo.
 
Nimedhamilia kabisa kuanza mradi wa kufuga kuku wa mayai hapo mwezi December baada ya kushawishika na maelezo ya wadau mbalimbali humu jamvini. Naomba kuelewa vipimo vya mabanda ya kuku kwa kuanzia 100. Najua huwa vipimo vinaongezeka kadiri kuku wanavyozidi kukua, ninachoomba ni vipimo baada ya kuku hao kukua na kuanza kutaga.
 
Elim hii imetulia, nnampango wa kuwa na kuku wa kienyeji zaidi ya 1200 ili kila mwezi niuze kuku 100.
 
habari wapiganaji wa kitanzania kwenye upande wa uchumi. sasa kuna post ya kwanza nilitoa mabanda machache tunayotengeneza. hivyo basi leo napenda kuwaonyesha sample nyingine ya mabanda tunayotengeneza. kwa maelezo zaidi karibu workshop ipo kituo cha mabibo hostel(mandela road), au waweza wasiliana nasi kuptia number ya simu +255 715805600 au barua pepe karibuni sana naomba kuwakilisha
View attachment 96714View attachment 96715View attachment 96716 View attachment 96717 View attachment 96718View attachment 96719View attachment 96720View attachment 96721View attachment 96722

Jamii forums hapaishiwi elimu ya msingi, endelevu na ya kuishia. Haya mabanda yanapatikana wapi kwa wenye kuyataka ingawa mie naweza kuyaunda mwenyewe maana nilipokuwa mdogo nilipitia ufundi kidogo wa usermala.
 
Hayo mabanda kwa ajili ya kufungia au kuuzia kuku?

attachment.php

Binafsi nisingefikiria kuanza na mradi mkubwa sana ambao utagharimu pesa nyingi bila kuwa na uzoefu. Kuanza na kuku wachache ili kupata elimu ya ufugaji ni bora na mafanikio yanapoonekana kutia moyo pamoja na uzoefu upanuzi utafuata. Hapa kuanzia na kuku hamsini hadi mia sio mbaya.

Sio kila mmoja mwenye uwezo wa kufungwa kamba ndefu shingoni kama mbuzi mwenye kufikia majani ya mbali, wengine kamba fupi kwanza ili kufikia majani ya kandokando.
 
Similar Discussions

10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom