Ujauzito wa sigara!!!why??

Chabo

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
1,083
1,135
Heeelllow wana j to the f.
Yaani ukiambiwa uswazi kuna vituko,basi ndo hivi:-
si unajua wajawazito hupendelea vitu mbalimbali ambavyo kabla ya ujauzito alikuwa hatumii mf.udongo,mkaa,chumvi,mchele nk.sasa mke wa jamaa hapa mtaani mimba yake imependa kuvuta sigara.(prev.alikuwa havuti).ila sasa hivi anakamua hata pkt 2 kwa siku.

Nikiripoti kutoka hapa nilipo,ni mm wenu wa kitaa.
 
Mshauri aache,maana siyo nzuri kwa afya ya mtoto!!!!hana mume,kwanini amemruhusu!!!!
 
inaonekanaa baba alikuwa ana vutaa bangi chooni kwa kujifichaa au sigara anavutaa then anakulaa iliki kuficha kwa mpenzi wake,so mfichaa marathi kifo umuumbua.huyo kid lazimaa awee huniii.
 
Achapwe bakora tu huyo muuaji, mumewe nae anaangalia tu, ina maana akitaka hata mwanaume mwingine atapewa
 
Back
Top Bottom