Ujauzito wa jf na majibu ya HIV

jamani mnakumbuka kuhusu yule mpenzi wangu wa humu kutokana na hali ya ujauzito nilionao
na swala la kufunga ndoa ,inabidi tupime afya zetu kiukweli naogopa sana jamani nisaidieni naona furaha yangu inapotea ghafla

Hujiamini nini? Au ulishadokoa dokoa sana pekupeku nini? Acha woga dada, mtumaini Mungu ya kuwa umzima wa afya , lakini pole eenhe!
 
Shosti ivi ulimuamini sana huyo bwana au alikueleza nini mpaka ukampa bila kinga? au mlisha pima kabla yakuingia kwenye uwanja wa nipe yote usinibanie? haya chamsingi nenda ukajiangali mama lakini usijali sana tarajia majibu mazuri...

Alihisi hapa jf hakuna mtu mwenye ukimwi ndo maana akampa kavukavu na ujawepesi huoooo ukawatembelea!
 
Pole dada,umetafuta bwana mtandaoni?,ndo madhara yake hayo.Kapime tu.
hata ungemtaftia chooni! ishu ya kupima ni tofauti na ulikompatia!!ma jerry njoo kwanza nikupime uwe na majibu tayari ili siku ya kupima usiogope!!
 
we mdada wakati mna doo na JF mwenzio kumbe hakumpima na mkaamua kufanya ngono isiyo salama.
Kaza moyo konde mama Pima na jitambue hakuna njia nyingine zaidi ya hapo..
 
Yaan huyu mdada mpaka ajifungue tutakoma humu ndani, alianza nimepata mume jf, akaja na ujauzito wa jf, sasa amekuja na kupima ujauzito wa jf!...cha kushangaza huyo mumewe yupo kimyaaa, anashindwa hata kumshauri mpenzi akapime, hivi kwa dunia ya sasa mtu ushakuwa na ujauzito afu unaogopa kwenda kupima??? Ni akili kweli jamani...wanashaurianaga nini sasa na huyo mume mtarajiwa jamani?...huyu ma jerry mie ananiachaga hoi sana!..akapime bana wakati anapata raha hakukumbuka kama kuna ukimwi?
 
Jamani kupima ni kwa faida ya mama na mtoto, nenda tu bwana kwanza amini kwamba upo salama, hata kama utakutwa na maambukizi huoni itakuwa ni faida kwako? Kwamba umelijua tatizo mapema hivyo mtoto atazaliwa akiwa salama na wewe kujilinda?

Usiogope bwana, mi naona huu uoga ungeuonyesha kabla ungekuwa useful lakini kwa sasa ni useless, songa mbele
 
Yaan huyu mdada mpaka ajifungue tutakoma humu ndani, alianza nimepata mume jf, akaja na ujauzito wa jf, sasa amekuja na kupima ujauzito wa jf!...cha kushangaza huyo mumewe yupo kimyaaa, anashindwa hata kumshauri mpenzi akapime, hivi kwa dunia ya sasa mtu ushakuwa na ujauzito afu unaogopa kwenda kupima??? Ni akili kweli jamani...wanashaurianaga nini sasa na huyo mume mtarajiwa jamani?...huyu ma jerry mie ananiachaga hoi sana!..akapime bana wakati anapata raha hakukumbuka kama kuna ukimwi?

Jamani huwa tunasahaugi...
 
jamani mnakumbuka kuhusu yule mpenzi wangu wa humu kutokana na hali ya ujauzito nilionao
na swala la kufunga ndoa ,inabidi tupime afya zetu kiukweli naogopa sana jamani nisaidieni naona furaha yangu inapotea ghafla

Michemsho dada, halafu ukipima ikusaidie nini? Endeleeni na uzinzi wenu vinginevyo unatafuta presha au kiharusi cha bure.
 
Ushakubali kubeba mimba heri upime tu,kama unayo haikwepeki
 
Yaan huyu mdada mpaka ajifungue tutakoma humu ndani, alianza nimepata mume jf, akaja na ujauzito wa jf, sasa amekuja na kupima ujauzito wa jf!...cha kushangaza huyo mumewe yupo kimyaaa, anashindwa hata kumshauri mpenzi akapime, hivi kwa dunia ya sasa mtu ushakuwa na ujauzito afu unaogopa kwenda kupima??? Ni akili kweli jamani...wanashaurianaga nini sasa na huyo mume mtarajiwa jamani?...huyu ma jerry mie ananiachaga hoi sana!..akapime bana wakati anapata raha hakukumbuka kama kuna ukimwi?

mautamu kunoga kila kitu ashhhh uanze fikiria ngoma tena?
 
Back
Top Bottom