Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,235
Watoto wameshaamka ujue............. taratibu mamaa
Afu wewe!!!akina Da sophy wanakuzengua sna.
Watoto wameshaamka ujue............. taratibu mamaa
............Mwenzenu Mungu amenishushia baraka za ujauzito, lakini imenivunja nguvu sana.
Duh hii mimba yako ya ngapi kudaka? Kwanza pole,
Mimba bana huwa zinakuwa zinavituko kuna mke mmoja wa rafiki yangu mimba yake ilikuwa inanipenda kweli kweli mm asipo niona anajisikia upweke na asipo sikia sauti yangu halali alafu ikamchukia kweli kweli mme wake hizi mimba unaweza poteza urafiki bure hivi hivi lakini jamaa alikuwa anaelewa kwa kupewa ushauri na wakubwa.
Kama wewe imependa pilipili basi kazana kula ili ikue na kustawi vizuri, lakini angalia mtoto nae anaweza zaliwa akawa mkali kama pilipili.Lini utajikomboa tuanze kuandaa baby show na nepi?
hongera mwaya!!! nadhani ni kawaida tu kwa mimba kuja na vimbwanga kama hivyo!!!
kula mamii wala usijali, si kuna mazoezi ya wajawazito?? either case hata ukijifungua pia bado unaweza kufanya mazoezi ukarudi into shape!!
dadaangu alikuwa anamfungisha safari mumewe toka King'oko mpaka upanga kununa mishikaki ya sh. 20 yenye, there was no cheating maana anagundua!!! halafu akikutaka uende kwake she didnt care uko wapi na usipoenda siku nyingine ukijipeleka tu anakufukuza au ananuna mpaka unaondoka!!!!!!!!
alikuwa anakula pilipili sana hadi kwenye mkate, Jr. alipozaliwa macho yalikuwa yanatoka machozi ila mi sijui kama ni sababu
Wewe jaribu kupunguza pilipili
Na wewe walewale.si kasema ujauzito wa kwanza? arrrrrgh.
Sawa kwani katika usichana wake hajawahi daka?
Sawa kwani katika usichana wake hajawahi daka?
.............Mzazi mwenzangu wala sio dent na ni mume wangu halali hivyo mimba nimepata kwa bahati nzuri kabisaaa.hongera sana, mimba huwa zina complecation hasa za kwanza. Na hapo ndio utaona hekima ya kuwaheshimu wazazni hasa mama zetu. umetuambia uko masomoni, ila hujatuambia mzazi mwenzako yuko wapi au naye ni mwnafunzi? ni mumeo au umepata kwa bahati mbaya? lakini pengine haya maswali sio ya msingi sana, turudi kwenye mada, wataalamu wa sayansi wanasema uhitaji wa chakula wa kiumbe kilicopo tumboni (fetal enegry requirement) ni mkubwa sana. mfano kati ya 50-60 ya glucose hupelekwa kwenye fetal (Sjaastad, 2003). pia kiwango kikubwa cha chakula (protein) kinahitajika kuandaa maziwa kwa ajili ya mtoto akishazaliwa (mathew & Van Holde 2005). ndio maana unajisikia njaa sana, kwa sababu mahitaji yameongezeka mara dufu
wewe una bahati kama unakula, maana kuna baadhi ya watu huwa wanakataa kula (hali hii husababisha hypoglycemia) ambayo kiafya si nzuri. kuhusu pilipili sina uhakika wa madhara yake, ila nakushauri upunguze. sambamba na hili nakushauri ule kwa wingi samaki (wana Decosahexanoic acid) ambayo ni nzuri kwa brain ya mtoto (inajenga uwezo wa kumbukumbu-cerebral cortex). pia mwambie mzee ajitahidi kunununulia mboga mboga za majani, wanut oil, na rapeseed oil (zina omega 3 kwa wingi) ambayo ni raw material ya ecosanoids na inazuia kuzalishwa kwa harmful ecosanoids kutoka kwenye omega 6. samahani nimetumia lungha nyingine ya kitaalam (nimeshindwa kupata tafasiri nzuri) kama hutojali unaweza ukanitumia PM nikakufafanulia zaidi.
Dada Pretty kama umeolewa ongera sana, ushauri wangu punguza kula pilipili zinaweza kumuathiri/kumdhuru mtoto akazaliwa na matatizo ya macho! Maana unachokula ndicho anachokula.............Mwenzenu Mungu amenishushia baraka za ujauzito
Hivi pilipili ni salama kwa kwa mwanamke mjamzito? Kuna wadada hapa ambao labda kipindi cha ujauzito mlikula pilipili vipi hazikuwadhuru? Mie mwenzenu mpenzi sana wa pili pili na katika hali hii bado nakula, nakatazwa kula lakini wala siachi.Je pili pili ina madhara yoyote kwa unborn child?
hongera sana pretty. Kama umeanza second trimester hiyo hali itaisha. Ingia website hii pregnancy, baby and toddler health information at babycentre uk maswali yako yote yatajibiwa.
............Mwenzenu Mungu amenishushia baraka za ujauzito, lakini imenivunja nguvu sana. Yaani muda wote naishiwa nguvu na njaa kuuma kila wakati. Kila baada ya nusu saa nahisi njaa kali sana.........hata nikila vp lakini muda mfupi tu njaa.Huu ndio ujauzito wangu wa kwanza basi naogopa huko kula kula nisije kunenepa bure.
..........3 weeks ago nilikuwa hoi, chakula changu kilikuwa ni drip tu, maana nilikuwa nasikia njaa lakini chakula hakiliki hadi ikabidi niwe admitted hospital.Nashukuru nimeshatoka hospital lakini sasa hivi ni njaa kwenda mbele. Nimeanza second trimester sasa lakini bado tu naishiwa nguvu, sijui hata nifanyeje?
Mimba kumbe ni shughuli jamani...........watu tumetolewa mbali kumbe.Na hivi nimenasa huku nipo masomoni mhhhhhhh!!
Hivi pilipili ni salama kwa kwa mwanamke mjamzito? Kuna wadada hapa ambao labda kipindi cha ujauzito mlikula pilipili vipi hazikuwadhuru? Mie mwenzenu mpenzi sana wa pili pili na katika hali hii bado nakula, nakatazwa kula lakini wala siachi.Je pili pili ina madhara yoyote kwa unborn child?