Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 16,987
- 20,271
- Thread starter
- #221
Karibu sana mkuu spade4spade
Last edited by a moderator:
Ujasusi na upelelezi kwanza hujengwa na tamaa binafs ya jasus au mdukuz na mpelelez ya kutafuta habar na pia hufurahia kufanya hivyo
Vitendo hiv hata vipingwe na serikal au sheria watendaj bado hujiona wenye haki
Mambo ya edward snowden haya.
YA mwisho imegawanyika Kwa makundi mawili ya ujasusi, upelelezi na udukuzi
Kwanza n kujionyesha kuwa na uwezo, na kutenda mambo expedition ambayo hupenda kuonekana Kwa wenzao na si jamii na kund la pili ndio wanaoishi Kwa kiherere na kujionyesha Kwa watu
Kundi la kwanza n born as spy and pili n made to be spy
amazing sanaKwa kuongezea nyama kidogo. Fedha na Blackmail ni njia moja wapo ya organization fulani kujipenyeza kwenye nyingine. Agents wa organization moja wana wa assess watu wa organization nyingine ambao ndo hasa wana interest nao. Interest utokana na how close hao agents au analysts wanaokuwa assessed wapo karibu na information inayotakiwa. Huwa wanaangalia weakness za mhusika. Kma ni mtu wa kupenda sana maisha ya juu basi hiyo ndo gia watayomuingia nayo. Watampa offer ambayo hawezi kukataa. Kwenye upande wa blackmail wanaangalia labda kuna kitu mhusika anacho ambacho amaekifanya siri kwa mwajiri wake na mbacho muajiriwa anaweza akapoteza kazi yake kwa hiyo yupo tayari kufanya lolote kuhakikisha siri haitoki. Kwa hiyo wakifanikiwa kumturn muhusika then mhusika ataaanza kuwapa information in exchange ya aidha fedha au siri yake kuendelea kulindwa. At that point mhusika anakuwa ni mole ndani ya organization aliyoajiriwa na upande wa pili ya ambao ndo wanahitaji information anakuwa ndo kama asset wao. Huyu asset anakuwa assigned mtu anajulika kama handler ambaye ndo kazi yake kuhakikisha ana maintain mawasiliano na huyu Asset kwa kufuata muongozo fulani ambao unakuwa umetengenezwa na hiyo organization. Kama ulivyosema ujasusi huwa haushishiii kwenye serikali tu. Big companies zinachunguzana ili kujua trade secrets za mwingine. Kwa Tanzania ujasusi upo kiserikali. Unapokuwa mtu prominent au taasisi kubwa au hata chama cha siasa chenye mwelekeo wa kushika dola kuchunguzwa ni muhimu. Kwa hiyo chama kama Chadema lazima wafuatiliwe kujua agenda zao.
de'levis ndio hujarudi tena mpaka leo hii, ndio kusema majukumu yamekuwa mengi sana kaka? usitutenge sana mkuuaisee....nikipata mda ntarudi hapa
mkuu Yericko Nyerere kwenye hayo maandishi niliyokoleza, hauoni kama ni vema kwa jasusi kulinda cover yake kwa kutochukua hatua yoyote ya moja kwa moja zaidi ya kufahamisha mamlaka husika za kisheria (law enforcement agencies) kama police and the like? au huo nao ni uozo wa sheria ya T.I.S.S ya mwaka 1996???!!!!!!!!!!!!!!!Hao ni invisible, kazi yao ni kufuatilia nyendo za waziri tu,
Sheria ya TISS ya mwaka 96 ndio inayoruhusu uozo mwingi nchini. Sheria hii haimruhusu afisa usalama kuchukua hatua za kuzui jambo lolote hata kama ni la hatari. Sheria inamtaka afisa huyo kuzishauri mamlaka nyingine ili zichukue hatua, pia sheria hiyo haimlazimishi anayeshauriwa kutekeleza,yani hapo matakwa yamshauriwa ndio uamzi wa kila kitu.