Yeriko nimefuatilia kuna upotoshaji mkubwa na ulivyoanza mada kwa mbwembwe utafikiri ni mbobevu nafikiri SAA hizi huko mtaani unavaa suti nyeusi mikono mifupi off course wasiojua haya mambo na hiki kimada uchwara unakula respect usio deserve .kifupi kwa watalaam wenyewe wanakuona mbugila na ukiona mtu anakusifu jua umemungiza chaka ni sawa Leo mie sio factor nikajifanya kuchambua magonjwa ya kina mama nikijifanya specialist hivi wenyewe ma Dr wakisoma wananionaje.......tafakari Yeriko ficha upumbavu wako au unategemea mtaji wa umaarufu wa jina nyerere na uelewa mdogo wa hadhila yako tafakari zaidi njoo inbox nikuonyeshe in jinsi gani uko mbali na ukweli