Ujasiriamali ni nini hasa na walengwa ni nani?

Stigliz

Member
Aug 9, 2011
44
13
Ajira ni ngumu mno,elimu yetu ipo katika nadharia na si vitendo.Je ujasiriamali wataka vigezo gani kwani ni muda nasikia ila sijui kwa mapana yake.NATAMANI KUWA MMOJA WAPO!Nafsi imeridhia na niradhi kukabiliana na changamoto.Kwa mlio wajasiriamali mlianzaje?Je pesa au nia iliyothabiti ndo inayotakikana?
 
Hongera sana kijana, kwa maelezo yako hayo hadi natamani kukutana na wewe ili kukutia moyo, ujasriamali ni kwa yeyote yule anayeweza kujikita kwa dhati na tija ili kupata kipato katika maisha yake, la muhimu kwanza ni nia ya dhati toka moyoni(should be very interested) ilikukusaidia kukabiliana na changamoto zake, ubunifu(creativity and innovation) kuweza kuangalia kila kitu au mazingira yanayokuzungaka na kubaini jinsi ya kupata kipato yaani mitazamo ya kijasriamali(entrepreneurial perception), jitahada na bidii isiyokata tamaa,na mengine mengi ,Hivyo basi baada ya kuiva kitabia,kisaikoloji,mtazamo unakuwa na shauku(desire) kubwa sana(kwangu huu ndio mtaji) na hii ndiyo itakayo kuendesha kupelekea namna ya kupata NYENZO za kukusaidia na upate kwa uhaba(isiyotosheleza) ili kuendelea kutunza hiyo shauku,mgandamizo wa mawazo ya mafanikio, kukuza ubunifu mm nashauri iwapo UNAWAZA kupata mfano shs 1,000,000- basi upate shs 400,000 tu n.k.
NYENZO ni kama pesa(wengi wanaita mtaji) kwangu mm mtaji ni tabia yako kama nilivyoanza kukueleza, Washauri( role models,mentor,consultants),,maarifa,elimu,networks n.k.
 
Ahsante saana,nia ninayo,uthubutu pia ninao,leo jmosi nimekuja hunters kinondoni eneo la jikoni nipate ujuzi wa uchomaji nyama kwa foil,utengenezaji salad na mengineyo.Nimechoka kutafuta kazi nitapambana mpaka mwisho.LAZIMA NIWE MJASIRIAMALI.
 
Ever thought of the simplest and the most definite way to achieve FINANCIAL SUCCESS?
If your answer is NO, then you just came across the RIGHT PERSON with the RIGHT ANSWER!!
You could be one of those who are still struggling to earn sufficient amount of income and spend more money than what you actually receive. In fact, more than 90% of the world’s total population aren’t really aware of a definite way to earn money. Instead, they settle for employment, and spend the rest of their lives working for their employers who won’t even pay them what they’re worth!!
Consider this simple calculation:
If you’re working 8 hours a day, 5 days a week and 50 weeks in 1 year
1 person × 8 hours × 5 days × 50 weeks = 2,000 hours in 1 year
Suppose you’ll be working only a maximum of 40 years all throughout your life (25 years old ~ 65 years old)
2,000 hours × 40 years= 80,000 hours !!
Imagine if you are paid $8 per hour, $10 per hour or $12 per hour respectively.
$8 × 80,000 hours = $ 640,000
$10 × 80,000 hours = $ 800,000
$12 × 80,000 hours = $ 960,000
The figures above could only be your maximum income potential for the next 40 Years !! Now how much do you think your Dream House cost? Your Dream Car? Or Vacation with your family abroad, Or education for your kids.
Even if you get your dreams at this rate, will you be able to enjoy at such an old age 60?
Then what is really the secret to financial freedom? Simple, it is by
“MULTIPLYING OF TIME THROUGH OTHERS” (MOTTO)
Let’s consider again the simple calculation above, but this time, let us multiply your time to 10 people who will be working for you.
10 People × 8 Hours × 5 Days × 50 Weeks × 4 Years = 80,000 Hours !!
Take a careful look at the computation above. If there are 10 people working under you, you actually accumulate the same 80,000 Hours as when you’re only working alone. The BIG DIFFRENCE is time, you will only do it for 4 years instead of 40 years. You’ve just practically saved 36 years of your life !!
“Therefore, it is not only a matter of money you EARN, but also the time that you SAVED”
NETWORK MARKETING offers a business you can start:
· 100% guarantee NO RISK!-Believe it or not, you can start the business at a minimum investment and even free for some countries. Time is the most investment you can give here. Enough for you to learn the business.
· Multiply Your Time Through Others- Yes, through this business, you multiply your time through others!
· No Boss- You won’t ever have to grant somebody else’s command. You are your own boss.
· International Business Opportunity- The business is present and legitimate in more than 140 countries up-to-date. You have the opportunity of earning international income.
· Recession proof business- It survives in tough economic conditions.
· Multiple ways to Earn- Up to 10 sources of income.
· Bonuses- Earn additional bonuses every month.
· Incentives- Earn additional incentives such as Car Incentive, Travel Incentive & Profit Sharing.
· Financial Freedom-You own your time. Spend it with your family more. Spend it for vacation. Do anything you want anytime you want !!
Contacts:
+255 785 365285
A Home Business Where Real People Make Real Money
 
Back
Top Bottom