Ujambazi Dar waanza kwa kasi

Mzee2000

JF-Expert Member
Aug 7, 2009
527
221
20th May 2010




headline_bullet.jpg
Yalifunga mitaa usiku saa mbili

headline_bullet.jpg
Yakapora duka moja moja

headline_bullet.jpg
Yakaua raia wawili kwa risasi





Vilio, simanzi na majonzi, vilitawala jana katika eneo la Vingunguti Faru, jijini Dar es Salaam, wakati wa shughuli za mazishi ya miili ya mfanyabiashara, Fadhili Adam na mganga wa tiba za jadi aliyefahamika kwa jina moja la Musa, waliouawa kwa kupigwa risasi na majambazi.
----------------------
Mwema alipopewa ukamanda wa mkoa wa Dar alisaidia sana kutuliza vitendo vya ujambazi.Lakini sasa naona majambazi wameanza tena.

Yaonekana mwema ameshindwa kazi.

Serikari ifanye nini?

Source: Ipp media 20/05/2010






 

Similar Discussions

Back
Top Bottom