Uigizaji husisha na wa jukwaa

TWANJUGUNA

Member
Jun 6, 2010
28
1
Tangu enzi za wagiriki uigizaji wa jukwaa procenium theatre umechukuliwa kuwa ndiyo theatre kamili. wanachuo wasomapo huwa wanasomea stage theatre.
Lakini je ni ipi iliyo bora baina ya ile ya kuhusisha umati- ambayo ndiyo ya ki-afrika?
Katika jukwaa, watazamaji huwa wachunguliaji tu - huku wakiwachukulia wachezaji kuwa vibonzo wa kuwachekesha au kuwaliza. ilhali hii yetu kila mtu huwa mshiriki - hucheka au hulia pamoja na wahusika.
Ikiwa umuhimu wa kuigiza ni kuwasilisha kwa kuhisisha watazamaji basi mimi naona drama yetu ndiyo theatre halisi. yafaa tuikuze.
 
You have a point twanjuguna ila nadhani tumeshakuwa brain washed kuchukia vya kwetu!
Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania.
 
Back
Top Bottom