Uichomeke vizuri

sulphadoxine

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,257
644
Mume wangu leo uichomeke vizuri iingie hasa!Maana jana nimetanua miguu tu ikatoka!
Mume:mbona nilichomeka vizuri!!!
Mke:Basi itakuwa kitanda kikubwa kuliko hiyo neti.:A S 2152:

Sambi sako mwenyewe kwa kusababisha watu watende sambi kwa kuwasa ndivyo sivyo!

Ingiza polepole inauma, halafu utanitoa damu pia; Kwani ni mara yangu ya kwanza, sijazoea kabisa, tafadhali naomba sana unielewe.
sipendi kuumizwa umizwa ndio maana sijawahi hata siku moja, yaani leo imebidi tu iwe hivyo!!!!

Hayo ni maneno ya Mgonjwa kwa Doctor wakati anataka kung'olewa Jino kwa mara ya kwanza!!! usiwaze dhambi tu

sasa mkuu jino linaingizwa ama linatolewa?angemuambia atoe taratibu banaa

Aingize koleo ya kutolea jino na mikasi......hapo je???

mh,huyo fundimeno nae alizidi!kama last time aliingiza kwa nguvu hadi damu,basi kutoa ilikuwa mauti.pole ya mgonjwa.
malaria haikubaliki...

Mume wangu leo uichomeke vizuri iingie hasa!Maana jana nimetanua miguu tu ikatoka!
Mume:mbona nilichomeka vizuri!!!
Mke:Basi itakuwa kitanda kikubwa kuliko hiyo neti.:A S 2152:

Hahahahaha dah soo

Akili yangu ilikuwa kwenye nanihii.....:lol:

Similar Discussions

Back
Top Bottom