Elections 2010 Uhusiano wa nguvu ya chadema na safu za uongozi!

reandle

JF-Expert Member
May 6, 2009
11,168
8,142
Dah! Sio siri, niliisahau kabisa hii forum baada ya kuzani uchaguzi mkuu umeshaisha!!!! Anyway, bado nina kumbukumbu kwamba humu jamvini watu hatuna uvumilivu wa kuona maoni yanayotofautiana na yale tunayoyaamini! Wataalamu wanasema kwamba pasipo na tofauti ya mawazo basi hapana elimu!!! Napenda kuwapa changamoto ndugu zangu wa CHADEMA ambao kimsingi hadi leo hii hawajakubali kwamba wamekuwa defeated kwenye general election iliyopita!! nina hofu kwamba, kadri watakavyoendelea kutoamini kwamba walishindwa ndivyo watakavyochelewa kufanya upembuzi yakinifu wa kwanini walishindwa!!! Na kwavile watachelewa kufanya tathimini ya kwanini walishindwa basi kuna hatari ya kushindwa tena kwenye chaguzi zitakazofuata!! Mtu akipimwa HIV na kukutwa na virusi, kinachofuata ni ushauri unasaa. Msingi wa kwanza wa ushauri nasaa ni kumfanya muathirika kukubali matokeo. Yule anayekubali matokeo mapema ndie anayekuwa katika nafasi mzuri zaidi ya kuishi kwa usalama kuliko yule anayechelewa kuyakubali matokeo!! CHADEMA bado hawataki kukubali!!

Changamoto ya kwanza ni lazima tujiulize ni kwanini CHADEMA ina nguvu kwenye maeneo ambayo wanatoka viongozi wa juu wa chama peke yake! mathalani, CHADEMA ina nguvu Kilimanjaro, ambako ndiko nyumbani kwa muasisi na mwenyekiti wa sasa! Aidha wana nguvu Arusha, ambako ndiko nyumbani kwa Katibu Mkuu! Ukiacha Arusha, CHADEMA wana nguvu Kigoma ambako ndiko katibu mkuu wa zamani Dr. Amani Warid Kaborou na naibu wa sasa Zitto Kabwe wanatoka! Vilevile CHADEMA ina nguvu Mara. Nazani vuguvugu la mageuzi lilishika kasi mara tangu zamani kv mmoja wa waasisi wa mageuzi nchini Dr. Mabere marando katokea kule. Hata NCCR ilipokosa mwelekeo, tayari wananchi walishavutiwa na mageuzi. Aidha, Mara huko huko ndiko nyumbani kwa makamu mwenyekiti hayati Chacha Wangwe!!!

Zipo sehemu ambazo hazitabiriki kama vile Mbeya, Mwanza na Iringa ambako uchaguzi uliopita CHADEMA walipata viti!! Sitaki kuamini kwamba mikoa hiyo nayo inafanana na mikoa niliyoitaja kabla.

Kutokana na hilo, CHADEMA wanajifunza nini? Kwanini chama kinachodai kina nguvu kina nguvu sehemu ambazo wanatoka viongozi peke yake!!! kwa mara ya kwanza, Singida wameichagua CHADEMA, bila shaka kutokana na kugombea Tindu Lissu ambae nae ni kiongozi wa juu wa CHADEMA! Je, kwa staili hii ya ujenzi wa chama tutarajie CHADEMA kufanya yale ambayo wana mageuzi wanayataka? Je, CHADEMA iunde nafasi nyingi zaidi za uongozi wa juu zitakazosambazwa mikoa mingine ili nako iwe na mashiko?
 
chadema wana siasa za kitoto mno...
ukitofautiana nao kidogo tu,basi we fisadi na ni ccm....

hawajui siasa...
 
Karibu tena baada ya kupotea ukidhani jamvi limeondoka na uchaguzi. Pole kwa sababu ingawa ulijiunga mwaka 2009 (uchaguzi ulikuwa bado) lakini ukadhani hili ni jamvi la uchaguzi.

Kimsingi hauna hoja maana umeonesha mwenyewe kuwa CHADEMA kina nguvu hata pale ambapo hakuna viongozi wa kitaifa kama Mwanza, Iringa, Singida, Dar es Salaam na Mbeya.

Kwa vile hauna hoja, jiandae ili ulete hoja. Kwa taarifa yako, Suala la CHADEMA kutochukua nchi (kwa sababu ya uchakachuaji uliofanywa) wanaoumia au kuathirika siyo wanachama au wapenzi wa CHADEMA bali ni kila Mtanzania kwa sababu kila tatizo linalotokea nchini, halibagui kama wewe unavyobagua. Mfano malipo ya Dowans, ingawaje unamsikia Jk akisema "naungana na wale wanaotaka Dowans isilipwe" serikali inatumia nguvu nyingi kukusanya hela kwa ajili ya kulipa ili zirudi CCM kuziba mapendo ya fedha walizotumia vibaya wakati wa uchaguzi. Athari kwa wananchi ziko wazi angalia bei zilivyopanda kati ya Desemba na sasa petrol, dezeli, mafuta ya taa, umeme, sukari n.k. Hili siyo suala la kichama bali kitaifa.

Andaa hoja ulete. Tuko hapa kukusaidia!!!

:clap2:
 
CCM asili yake ni TANU ilizaliwa 1954 na CDM ni ya miaka ya tisini,wote watakuwaje na mvi?
 
Dah! Sio siri, niliisahau kabisa hii forum baada ya kuzani uchaguzi mkuu umeshaisha!!!! Anyway, bado nina kumbukumbu kwamba humu jamvini watu hatuna uvumilivu wa kuona maoni yanayotofautiana na yale tunayoyaamini! Wataalamu wanasema kwamba pasipo na tofauti ya mawazo basi hapana elimu!!! Napenda kuwapa changamoto ndugu zangu wa CHADEMA ambao kimsingi hadi leo hii hawajakubali kwamba wamekuwa defeated kwenye general election iliyopita!! nina hofu kwamba, kadri watakavyoendelea kutoamini kwamba walishindwa ndivyo watakavyochelewa kufanya upembuzi yakinifu wa kwanini walishindwa!!! Na kwavile watachelewa kufanya tathimini ya kwanini walishindwa basi kuna hatari ya kushindwa tena kwenye chaguzi zitakazofuata!! Mtu akipimwa HIV na kukutwa na virusi, kinachofuata ni ushauri unasaa. Msingi wa kwanza wa ushauri nasaa ni kumfanya muathirika kukubali matokeo. Yule anayekubali matokeo mapema ndie anayekuwa katika nafasi mzuri zaidi ya kuishi kwa usalama kuliko yule anayechelewa kuyakubali matokeo!! CHADEMA bado hawataki kukubali!!

Changamoto ya kwanza ni lazima tujiulize ni kwanini CHADEMA ina nguvu kwenye maeneo ambayo wanatoka viongozi wa juu wa chama peke yake! mathalani, CHADEMA ina nguvu Kilimanjaro, ambako ndiko nyumbani kwa muasisi na mwenyekiti wa sasa! Aidha wana nguvu Arusha, ambako ndiko nyumbani kwa Katibu Mkuu! Ukiacha Arusha, CHADEMA wana nguvu Kigoma ambako ndiko katibu mkuu wa zamani Dr. Amani Warid Kaborou na naibu wa sasa Zitto Kabwe wanatoka! Vilevile CHADEMA ina nguvu Mara. Nazani vuguvugu la mageuzi lilishika kasi mara tangu zamani kv mmoja wa waasisi wa mageuzi nchini Dr. Mabere marando katokea kule. Hata NCCR ilipokosa mwelekeo, tayari wananchi walishavutiwa na mageuzi. Aidha, Mara huko huko ndiko nyumbani kwa makamu mwenyekiti hayati Chacha Wangwe!!!

Zipo sehemu ambazo hazitabiriki kama vile Mbeya, Mwanza na Iringa ambako uchaguzi uliopita CHADEMA walipata viti!! Sitaki kuamini kwamba mikoa hiyo nayo inafanana na mikoa niliyoitaja kabla.

Kutokana na hilo, CHADEMA wanajifunza nini? Kwanini chama kinachodai kina nguvu kina nguvu sehemu ambazo wanatoka viongozi peke yake!!! kwa mara ya kwanza, Singida wameichagua CHADEMA, bila shaka kutokana na kugombea Tindu Lissu ambae nae ni kiongozi wa juu wa CHADEMA! Je, kwa staili hii ya ujenzi wa chama tutarajie CHADEMA kufanya yale ambayo wana mageuzi wanayataka? Je, CHADEMA iunde nafasi nyingi zaidi za uongozi wa juu zitakazosambazwa mikoa mingine ili nako iwe na mashiko?

Huna nyimbo wewe na si lazima uandike jf
 
chadema wana siasa za kitoto mno...
ukitofautiana nao kidogo tu,basi we fisadi na ni ccm....

hawajui siasa...
Siasa nzuri ni zipi?ni zile za kuisifia CCM na JK.kama CHADEMA wana dosari hii,basi hata CCM,pia mna dosari inayofanana na hii!!
 
chadema wana siasa za kitoto mno...
ukitofautiana nao kidogo tu,basi we fisadi na ni ccm....

hawajui siasa...

Ni kweli hawajui siasa kabisa, haiwezekani kabisa wawe wana ki-challenge chama Tawala hasa katika masuala ya ufisadi huku wakijua fika inaweza kupoteza amani tuliyo izoea,
 
"Haiwezekani wawe wanakichallenge chama tawala". Unaonekana hujui maana ya opposition parties. Hiyo ndo kazi yake kubwa, kuchallenge chama tawala na serikali yake, maana ndo tuliowapa dhamana ya Hazina yote na kusimamia matumizi halali.

Kwa hiyo kwa mtizamo wa "The Boss" tuwaache tu watafune raslimali zetu kwa kuogopa kupoteza hicho unachokiita "Amani". hivi bado unaamini amani bado ipo? Labda mwenzetu ni mtoto wa fisadi fulani
 
Bila TISS uchaguzi 2010, sasa hivi CCM isingekuwepo kwenye ulingo wa siasa. Tungekuwa tumekwishaizika.
 
Mkuu ningekuelewa vizuri kama katika hoja yako ungesema CDM wana nguvu kubwa sana katika miji mikubwa na majimbomakubwa, then anzia hapo analysis yako kuliko kubase kwenye maeneo waliyozaliwa viongozi wake!
 
uelewa finyu ndo kinachokusumbua....chama kinanguvu nyumbani kwa viongozi??????? ulimbukeni...kwa hiyo Iringa, Mbeya, Singida, mwanza??
 
Zipo sehemu ambazo hazitabiriki kama vile Mbeya, Mwanza na Iringa ambako uchaguzi uliopita CHADEMA walipata viti!! Sitaki kuamini kwamba mikoa hiyo nayo inafanana na mikoa niliyoitaja kabla.
Hii ina contradict unachojaribu kutueleza tukikubali, nadhani jitahidi kuonyesha ni viongozi gani wakuu wa chadema wanatoka katika hii mikoa (in RED) ili tuamini hoja unayoijenga kuwa ina ukweli ,otherwise ,I can correctly term your argument as "fallacious" .
 
chadema wana siasa za kitoto mno...
ukitofautiana nao kidogo tu,basi we fisadi na ni ccm....

hawajui siasa...

Kwani ni ipi fomula ya siasa?
siasa ya kikubwa ni ipi?
unapige ramli dogo!
 
Naheshimu maoni yako nafikiri alikuwaanamaanisha kuona CDM inafanya tathmini na mikakati ya maeneo ambayo ushindi haukutegemewa na wengi pamoja na uchakachuaji ilikujijenga zaidi
 
hii inaonyesha jinsi wanachama wa chadema walivyo makini kuchagua viongozi wao kutokana na uwezo wao wa kufanya kazi ,watu wenye ushawishi zaidi kwa wananchi nafikiri ndo jibu la kifupi kwako ,

mfano :kama wewe upo mtwara,songea,dodoma ingia chama chochote nccr cdm cuf tlp fanya kazi uwaelimishe wananchi umuhimu wa upinzani,wakuelewe wakuchague ,halafu uende kwenye chama chako ugombee uongozi waelimishe wanachama wenzio kwa kutumia skills ulizonazo zilizofanya uchaguliwe mtwara elezea mafanikio yako huko mtwara natumaini kutakuwa na wapinzani wako pia kutoka maeneo mengine kama nao watakuwa wamafanikiwa kama wewe ulivyafanya mtwara
 
CCM asili yake ni TANU ilizaliwa 1954 na CDM ni ya miaka ya tisini,wote watakuwaje na mvi?

Alieianzisha CDM na yeye alikuwa TANU aliwahi kushika uongozi wa juu serikalini, hawa wanafahamiana na nina wasiwasi hivi vyama ni makanyaboya tu sie tunaumiza vichwa watu wanapeta!
 
Back
Top Bottom