Uhusiano wa January Makamba, mtoto wa Kinana, na Rashid Shamte ni mkubwa zaidi

hapo kwenye nyekundu umeniacha hoi, umenikumbusha bwana mmoja wa JF anaitwa Wa.16 alitoa kauli kama yako na akapotea jumla
Sasa Haraka Na Kiherehere Cha Nini,ni Kwanini Usingesubiri Mpaka Ukakamilisha Vielelezo Ndio Akaleta Hapa.Udaku
 
Hata mie uwa sikubaliani sana na ccm ila kwa hili la udini na ukabila kwa january makamba hapana siwezi kukubaliana nalo kwani alikozaliwa kuna mchanganyiko mkubwa wa kidini na alikoenda kuoa vile vile kuna maingiliano makubwa ya kidini hivyo kwa tuhuma hizi za kidini na kikabila kwa january makamba hapana sitakubaliana nazo,
Hivyo namuogopa mungu sitaki dhambi hii.
 
Uhusiano kati ya January Makamba, mtoto wa kinana na yule jamaa wa text za kichochezi na chuki dhidi ya wakatoliki Tanzania nzima, kabila la wachagga, na wakazi wa mikoa ya kaskazini (ajulikanaye kama Rashid Shamte) ni mkubwa kuliko tulivyodhania.

Jana kulikuwa na habari kuwa Shamte anataka kukimbilia nje ya nchi (very likely - Dubai). Hii habari bado ina utata lakini habari za ndani zinaeleza kuwa familia ya Makamba na Kinana wanahangaika kufanya kila wawezalo kujitenga mbali na Shamte.

Kuna kitu nafuatilia so kwa sasa naiacha hii story kama news alert, nikipata info zote, nitaweka hapa ili watu wamkome nyani giladi mchana kweupeeeeeeeeeeeeeee.

USHAURI KWA JANUARY MAKAMBA, huu mpango wenu wa kuanzisha vita ya kidini na kikabila si mzuri kwa ndoto yako ya kuwa raisi wa jamhuri wa Tanzania siku za mbeleni. Kama Tanzania ikitumbukia katika vita, je wewe utaongoza vipi nchi hiyo?

Ahaaaaaaaaaaaaaaaaa kumbeeeeeeeeeeeeee!. Waanze wao kuondolewa kabla hawajatufikisha kule wanataka.
 
Hata mie uwa sikubaliani sana na ccm ila kwa hili la udini na ukabila kwa january makamba hapana siwezi kukubaliana nalo kwani alikozaliwa kuna mchanganyiko mkubwa wa kidini na alikoenda kuoa vile vile kuna maingiliano makubwa ya kidini hivyo kwa tuhuma hizi za kidini na kikabila kwa january makamba hapana sitakubaliana nazo,
Hivyo namuogopa mungu sitaki dhambi hii.

Unataka kusema mchanganyiko huo ulioko kwao ni yeye kauanzisha? Unajuaje anataka kuua watu wote ili abaki yeye na famlia yake kwa sababu huo mchanganyko ndio hakubaliani nao?
Unafahamu ni nguvu ipi inampa msukumo wa kuwaua wote wengine abaki yeye n awatu wake anaofanana nao? Unajua lipi kwake linanguvu ya kiutashi kama akiachwa kati ya kujenga jamii mchanganyiko na anayoyaita maguruwe au kufanya mauaji ya chuki?

Watua kama Makamba si wa kuamini hata kidogo ya huwezi kumtetea kwa lolote kwa sababu ni mwovu siku zote.
 
Mama Salma Kikwete akiwa rais na nchi hii nahama na mwanangu kwenda kuishi uhamishoni Afghanistan hadi miaka yake mitano ipite. Heri nikaishi ukimbizini tora bora kuliko kuongozwa na mwalimu wa chekechea, aliingia madarakani ung'eng'e unamshinda ndo awe rais....
Unakosea kumdharau mwalimu wa chekechea!
Unafikiri hakusoma, labda alipomaliza na kufaulu vema STD 7 au hata chekechea yake akapewa uwalimu?
Kama una doubt uwezo wa salma kikwete we ishia hapo tu kwa salma kuliko kudharau walimu wote wa nursery schools! Kuna walimu vyuo vikuu ni mburula kuliko hata STD 7 leavers wa kawaida! By the way said Bakhresa ameajiri wasomi wa ndani na nje ya nchi, nini kimefanya awe kiongozi wa kampuni kubwa?
Muhammad na Jesus hawakuingia darasani wanatuongoza waumini zaidi ya bilion 5 duniani!
Uongozi ni beyond a,e,I,o,u!
Mjudge salma kwa uwezo wake, waache walimu wetu wanayapitia mengi, please usiendelee kuwanyima confidence pasipo na sababu! Hawa walimu wa nursery ndio nguzo ya malezi ya brains changa mno, wanahitaji mtu anayewajibika anaye feel kazi yake, tusiwabughudhi!
Kama hukubaliani na uwezo wa salma hata angekuwa Prof wa UDSM ingemuongezeaje weledi wa kiutawala?
 
kama hizi thread ndio jibu na ushahidi wenu basi nadhani kile ambacho mnakitafuta hakitafanikiwa. Hakuna jibu wala aina yoyote Yakumuhisisha januar katika kile kinachosemwa.

Tatizo ninaloliona hapa ni chuki dhidi ya watu waliotajwa.. Na pia kumuhusisha kikwete na Upuuzi huu inaonyesha ni jinsi gani Jukwaa Hili limegeuka kuwa la mipasho huku MODS wakivaa miwani ya mbao kanakwamba wanakiona hiki kinachoitwa HABARI YA UTATA NI SAHIHI KWAO
Wewe ndiye unahangaika na mipasho. Huna tofauti na makamba kielimu wizi mtupu. Shukuruni sana mmewambukiza vyombo vya dola na upungufu wa utaalamu
 
Viongozi Wa Chadema Wamewachmganisha Wafuasi Wao Na Baadhi Ya Wanasiasa Vijana Tanzania Na Wanaonekana Kufurahia.Na Hii Ni Kwa Wale Vijana Mbumbumbu,wavivu,wapenda Majungu Na Udaku.RIDHIWANI KIKWETE,PAUL MAKONDA,JANUARY MAKAMBA,ZITTO KABWE NI MIONGONI MWA VIJANA WALIOJENGEWA CHUKI KALIIIIIIIIIIIII KUTOKA KWA BAVICHA.UKIWAULIZA SABABU WATAKUORODHESHEA TUHUMA NYIIIIINGI ZA KWENYE VIJIWE VYA GAHAWA NA HAKUNA MWENYE UWEZO WA KUTHIBITISHA.FALSE KNOWLEGDE NI SUMU KALI SANA KULIKO HATA IGRORANCE.
Lete issues achana na blame game unadhihirisha kiwango cha ujinga wako tu.
 
Baseless questions !!! Kwa hiyo hujui kwamba Kinana amejuana na Rashid Shemte through January Makamba, Hujui kwamba Kinana Makamba, Kikwete na watoto wao ni kitu kimoja kwenye hizo message za kichochezi, Hujui kwamba ni kweli Kiwete na hao waliosambaza message wanachochea chuki za kidini na ukabila unaoweza kuangamiza taifa!!!!??? Kama yote hayo huji basi kwa herrrrrrrrriiiiiiiiiiiiii!!

Kwa maelezo zaidi ili uweze kuelewa basi soma thread hii kwa makini
:- https://www.jamiiforums.com/jamii-intelligence/79173-aliyesambaza-meseji-za-kumkashifu-slaa-ni.html

Click link hii uone uhusiano wa January na Shamte

http://www.mohammeddewji.com/blog/?p=169
...
 
Mkuu kwa hili la Bwana January kushabikia Udini na Ukabila sitaki kukubaliana na wewe,January mwenyewe kama walivyo watanzania wengi kachanganya kwenye Dini,Mama yake ni Mkristo na ndio maana labda Mzee Makamba ni fundi wa kupitia vifungu vya Biblia,pia Mama huyo ni Muhaya,na Januari ambaye ni Msambaaa kaoa mwanamke Mkristo na ni Mchaga,kwa maana hiyo kumuhusisha na huu ubaguzi wa kidini na Ukabila naona hatumtendei haki!
Isiwe Ushabiki wa kiitikadi ndio unatupeleka kuandika mambo yasiyo kweli ,tujaribu kuandika ukweli.​

Mabeberu husema " give a dog a bad name ........"
 
This is so sad January mama yake mzazi ni mkatoliki, Rashid Shamte pia mama yake ni mkatoliki na kaka yake waliye share naye mama ni mkatoliki...chuki kwa wakatoliki wanazitoa wapi jamani
 
Mkuu maana yake ni kuwa hawa watu wengine wanaingia madarakani kutokana na majina ya kina baba, lakini si kama kweli wanaweza siasa au wana nia ya kutumia wananchi. Ndio maana wanaweza kuja na sera za ajabu. Nilichokuwa nasema ni kuwa sidhani kama YUSUF ana sera za udini. Lakini simjui Januari kama anaweza siasa za kweli, may be yeye anweza kuwa kwenye kundi hilo la siasa za udini, si baba yake.

Baba Msambaa mwisilamu , mama Muhaya mkristu, mke Mchagga mkristu Januari ambaye ni Msambaa mwisilamu anashabikia udini, dini gani, ukabila gani !?
 
Uhusiano kati ya January Makamba, mtoto wa kinana na yule jamaa wa text za kichochezi na chuki dhidi ya wakatoliki Tanzania nzima, kabila la wachagga, na wakazi wa mikoa ya kaskazini (ajulikanaye kama Rashid Shamte) ni mkubwa kuliko tulivyodhania.

Jana kulikuwa na habari kuwa Shamte anataka kukimbilia nje ya nchi (very likely - Dubai). Hii habari bado ina utata lakini habari za ndani zinaeleza kuwa familia ya Makamba na Kinana wanahangaika kufanya kila wawezalo kujitenga mbali na Shamte.

Kuna kitu nafuatilia so kwa sasa naiacha hii story kama news alert, nikipata info zote, nitaweka hapa ili watu wamkome nyani giladi mchana kweupeeeeeeeeeeeeeee.

USHAURI KWA JANUARY MAKAMBA, huu mpango wenu wa kuanzisha vita ya kidini na kikabila si mzuri kwa ndoto yako ya kuwa raisi wa jamhuri wa Tanzania siku za mbeleni. Kama Tanzania ikitumbukia katika vita, je wewe utaongoza vipi nchi hiyo?
Uliona mbali sana mkuu
 
Kama wewe si Musiba basi umetumwa na Musiba au anayempa kiburi. Acha umbea wa kike!
Uhusiano kati ya January Makamba, mtoto wa kinana na yule jamaa wa text za kichochezi na chuki dhidi ya wakatoliki Tanzania nzima, kabila la wachagga, na wakazi wa mikoa ya kaskazini (ajulikanaye kama Rashid Shamte) ni mkubwa kuliko tulivyodhania.

Jana kulikuwa na habari kuwa Shamte anataka kukimbilia nje ya nchi (very likely - Dubai). Hii habari bado ina utata lakini habari za ndani zinaeleza kuwa familia ya Makamba na Kinana wanahangaika kufanya kila wawezalo kujitenga mbali na Shamte.

Kuna kitu nafuatilia so kwa sasa naiacha hii story kama news alert, nikipata info zote, nitaweka hapa ili watu wamkome nyani giladi mchana kweupeeeeeeeeeeeeeee.

USHAURI KWA JANUARY MAKAMBA, huu mpango wenu wa kuanzisha vita ya kidini na kikabila si mzuri kwa ndoto yako ya kuwa raisi wa jamhuri wa Tanzania siku za mbeleni. Kama Tanzania ikitumbukia katika vita, je wewe utaongoza vipi nchi hiyo?
 
Daaah huu uzi ulikuwa wa 2010!! Na sasa 2019 na unaonyesha dhahiri shahiri umoja katika familia za "wapumba" hapana nibakize maneno kuna kesho pia na hakuna aijuae mara forest, suzy, nssf mmhhhh
 
Back
Top Bottom