Uhusiano wa January Makamba, mtoto wa Kinana, na Rashid Shamte ni mkubwa zaidi

Mama Salma Kikwete akiwa rais na nchi hii nahama na mwanangu kwenda kuishi uhamishoni Afghanistan hadi miaka yake mitano ipite. Heri nikaishi ukimbizini tora bora kuliko kuongozwa na mwalimu wa chekechea, aliingia madarakani ung'eng'e unamshinda ndo awe rais....

nakusupport mkuu
mimi mwenyewe nitaenda kuishi baghdad au pakistani nikalime bangi ,bora wanangu wawe mateja kuliko kuongozwa na huyo mama,shule ya msingi inamtosha na sio ss watu tayari na akili zetu.

Abiziani...........................................................
 
Baseless questions !!! Kwa hiyo hujui kwamba Kinana amejuana na Rashid Shemte through January Makamba, Hujui kwamba Kinana Makamba, Kikwete na watoto wao ni kitu kimoja kwenye hizo message za kichochezi, Hujui kwamba ni kweli Kiwete na hao waliosambaza message wanachochea chuki za kidini na ukabila unaoweza kuangamiza taifa!!!!??? Kama yote hayo huji basi kwa herrrrrrrrriiiiiiiiiiiiii!!

Kwa maelezo zaidi ili uweze kuelewa basi soma thread hii kwa makini :- https://www.jamiiforums.com/jamii-intelligence/79173-aliyesambaza-meseji-za-kumkashifu-slaa-ni.html

Click link hii uone uhusiano wa January na Shamte

Mohammed Dewji Blog » Blog Archive » EXCLUSIVE INTERVIEW WITH JANUARY MAKAMBA..!!!

Wewe unajuana na unabadilishana mawazo na watu wengi nchini, ni viongozi gani nchini unafikiri ni mfano kwa vijana wanaofikiria kufuata nyayo zao kwenye siasa?

Wapo viongozi wengi walioitumikia na wanaoendelea kuitumikia nchi hii kwa uadilifu, kwa bidii, na kwa heshima mkubwa. Vijana hawawezi kupata shida katika kuchagua kati ya hao ni wapi wafuate nyayo zao.

Ni muhimu pia kutambua ni kwamba vijana wengi wanahamasika kuingia kwenye siasa kutokana na mafanikio ya vijana wa rika lao waliowatangulia kwenye siasa. Kwahiyo, ni muhimu sana kuwaunga mkono na kuhakikisha kwamba vijana wenzetu walioingia kwenye siasa, katika vyama vyote vya siasa, wanafanikiwa na wanafanya vizuri ili wengine nao wahamasike na waone kuwa inawezekana.
Hata hivyo, nadhani fursa za kuitumikia nchi na kushiriki kwenye mabadiliko sio lazima ziwe ndani ya siasa peke yake. Wako vijana wengi mjini hapa wanafanya mambo makubwa sana kwenye nyanja finance, kwenye kwenye ICT, kwenye NGOs ambao tayari ni leaders kwenye maeneo hayo. Kuna firm hapa mjini inaitwa Serengeti Advisers ya rafiki zangu kina Aidan, Bertram, Abdu pamoja na vijana wengine pale kina Chiume, Bakilana, Eneza – they are doing great things. Yupo pia rafiki yangu Rashid Shamte na vijana wenzake pale Push Mobile – mambo wanayofanya kwenye telecoms sector si madogo. Wapo vijana wengi hapa mjini, quietly they are making things happen. Na hawa nao pia tujaribu kufuata nyayo zao na tuwa-recognise pia kama viongozi, sio tu wale waliopo kwenye politics – kwa kuwa sio kila mmoja wetu atatoa mchango wake kwa ujenzi wa nchi yetu kupitia siasa

Maneno ya Januari Makamba bila kuchakachua
 
Mkuu kwa hili la Bwana January kushabikia Udini na Ukabila sitaki kukubaliana na wewe,January mwenyewe kama walivyo watanzania wengi kachanganya kwenye Dini,Mama yake ni Mkristo na ndio maana labda Mzee Makamba ni fundi wa kupitia vifungu vya Biblia,pia Mama huyo ni Muhaya,na Januari ambaye ni Msambaaa kaoa mwanamke Mkristo na ni Mchaga,kwa maana hiyo kumuhusisha na huu ubaguzi wa kidini na Ukabila naona hatumtendei haki!

Isiwe Ushabiki wa kiitikadi ndio unatupeleka kuandika mambo yasiyo kweli ,tujaribu kuandika ukweli.​

Mkuu umeiweka vizuri kwa data ila naomba utanisamehe kutoa angalizo;

Kwanza natanguliza kwa kusena January namuona kama kijana makini; lakinu Jenerali Ulimwengu ameandika wiki chache zilizopita kwamba kipindi hiki watu makini wanaweka pembeni taaluma zao na kuzirejea baada ya uchaguzi, simhukumu January ama yeyote kwa hilli ni angalizo;

Angalizo hilo linanisukuma kukumbusha watu mambo kadhaa ambayo wanasiasa wetu wanayatumia kwa maslahi yao tu lakini katika matendo wanakua tofauti majumbani mwao ama kazini. Mfano Zanzibar wakati wa hali tete ya kisiasa wanasiasa walikua wakihubiri chuki kati ya CCM na CUF lakini wao unakuta majumbani mwao wanaishi, kulka na kulala na CUF ama CCM;

Leo kuna watu majukwaani wanapinga ufisadi, wakishuka wanavuta rushwa; kuna watu wanapiga vita udini lakini wakishuka mnajukwaani wanahubiri udini, lakini wapo wanaochochea udini wakati yeye anaishi na dini tifauti na ananufaika kutokana na maslahi ya dini tofauti.

Kwa kifupi tujadili na kutafuta taarifa sahihi bila kutumia marejeo kama kinga na kwa hili mtoa hoja atuletee data kuhusu mahusiano ya January na Shamte na familia ya Kinana, tusiwahukumu wala kuwatetea.
 
Mama Salma Kikwete akiwa rais na nchi hii nahama na mwanangu kwenda kuishi uhamishoni Afghanistan hadi miaka yake mitano ipite. Heri nikaishi ukimbizini tora bora kuliko kuongozwa na mwalimu wa chekechea, aliingia madarakani ung'eng'e unamshinda ndo awe rais....[/QU
lo hata mimi.hapo ccm watakuwa wamechemka
 
[/LEFT]

Mkuu umeiweka vizuri kwa data ila naomba utanisamehe kutoa angalizo;

Kwanza natanguliza kwa kusena January namuona kama kijana makini; lakinu Jenerali Ulimwengu ameandika wiki chache zilizopita kwamba kipindi hiki watu makini wanaweka pembeni taaluma zao na kuzirejea baada ya uchaguzi, simhukumu January ama yeyote kwa hilli ni angalizo;

Angalizo hilo linanisukuma kukumbusha watu mambo kadhaa ambayo wanasiasa wetu wanayatumia kwa maslahi yao tu lakini katika matendo wanakua tofauti majumbani mwao ama kazini. Mfano Zanzibar wakati wa hali tete ya kisiasa wanasiasa walikua wakihubiri chuki kati ya CCM na CUF lakini wao unakuta majumbani mwao wanaishi, kulka na kulala na CUF ama CCM;

Leo kuna watu majukwaani wanapinga ufisadi, wakishuka wanavuta rushwa; kuna watu wanapiga vita udini lakini wakishuka mnajukwaani wanahubiri udini, lakini wapo wanaochochea udini wakati yeye anaishi na dini tifauti na ananufaika kutokana na maslahi ya dini tofauti.

Kwa kifupi tujadili na kutafuta taarifa sahihi bila kutumia marejeo kama kinga na kwa hili mtoa hoja atuletee data kuhusu mahusiano ya January na Shamte na familia ya Kinana, tusiwahukumu wala kuwatetea.

MKUU, hii imekaa vizuri sana. Bravo!!
 
Mwinyi ilikuwa aingie Zanzibar ila Bilal akaharibu kila kitu. Sasa hivi macho yote yameelekezwa kwenye uraisi wa JMT. Kwenye list hapo muongeze mama Salma Kikwete.

Una maana unamfananisha na Hillary Clinton? sijui kama wanaendana. Bora ungesema mama Anna Mkapa maana yeye kichwani ameelimika vya kutosha
 
Una maana unamfananisha na Hillary Clinton? sijui kama wanaendana. Bora ungesema mama Anna Mkapa maana yeye kichwani ameelimika vya kutosha

siwezi kumfananisha mama salma (wa kampeni za shuka kwa shuka na Mrs Clinton), hiyo itakuwa against everything I stand for.
 
Guys this issue is very very very serious,,we need to do something on 31st,let's go for right candidate!
 
Uhusiano kati ya January Makamba, mtoto wa kinana na yule jamaa wa text za kichochezi na chuki dhidi ya wakatoliki Tanzania nzima, kabila la wachagga, na wakazi wa mikoa ya kaskazini (ajulikanaye kama Rashid Shamte) ni mkubwa kuliko tulivyodhania.

Jana kulikuwa na habari kuwa Shamte anataka kukimbilia nje ya nchi (very likely - Dubai). Hii habari bado ina utata lakini habari za ndani zinaeleza kuwa familia ya Makamba na Kinana wanahangaika kufanya kila wawezalo kujitenga mbali na Shamte.

Kuna kitu nafuatilia so kwa sasa naiacha hii story kama news alert, nikipata info zote, nitaweka hapa ili watu wamkome nyani giladi mchana kweupeeeeeeeeeeeeeee.

USHAURI KWA JANUARY MAKAMBA, huu mpango wenu wa kuanzisha vita ya kidini na kikabila si mzuri kwa ndoto yako ya kuwa raisi wa jamhuri wa Tanzania siku za mbeleni. Kama Tanzania ikitumbukia katika vita, je wewe utaongoza vipi nchi hiyo?

ina mana mpaka sasa hujapata taarifa?

au ulikuwa udaku?
 
so ndo huyu katiwa kibindoni kwa kukwepa kodi,? wizara hii si iliongozwa na kina January!!! ??? connect dots
 
Hiyo ndiyo ilikuwa JF kabla ya kuvamiwa na viwavi

Viwavi vyenyewe viligawiwa ipads na Makamba huyo huyo

Kila mara tunaambiwa tuwe tunaweka akiba ya maneno

Waliokuwa wanamtetea huyu Shamte je bado wapo?

Huyo Januari Makamba tena kapewa uwaziri na Magufuli

Hapo ndipo nashindwa kuielewa serikali ya CCM ikoje!
 
Upumbafu tu.............yeye ni muislamu na makamba sr anajaribu tu kuwarubuni wakristo km alivyowarubuni waislamu kuhusu mahakama ya kadhi ndyio maana anajaribu kuisema bible kimdomoni wkt moyo wake ni kutaka kura za wakristo........january ni muislamu kitendo cha kuoa mchaga sijui muhaya ni furaha tu kwa waislamu km kawaida yao wafurahipo kuoa mkristo na huwa wanahesabu km mafanikio makubwa........,makamba ni mnafiki na ni uchafu kutumia bible ambayo yeye mweneyewe na dini yake hawaiamini km ilivyo kwa wakristo kutoiamini quran kitabu chenye uchochezi wa chuki na mauaji
Toa upumbavu wako hapa mwanamlaaniwa,usijaribu kuhusisha Quruani na taka za mawazo yako ya kijahilia
Do you think the holly book will stoop so low to accommodate o embrace the thinkings of you mshamba or Makamba ?
Mwanamjaa laana usijaribu kutafsiri mashafu yaliyo juu Sana ya uwezo wako
 
Baseless questions !!! Kwa hiyo hujui kwamba Kinana amejuana na Rashid Shemte through January Makamba, Hujui kwamba Kinana Makamba, Kikwete na watoto wao ni kitu kimoja kwenye hizo message za kichochezi, Hujui kwamba ni kweli Kiwete na hao waliosambaza message wanachochea chuki za kidini na ukabila unaoweza kuangamiza taifa!!!!??? Kama yote hayo huji basi kwa herrrrrrrrriiiiiiiiiiiiii!!

Kwa maelezo zaidi ili uweze kuelewa basi soma thread hii kwa makini :- Aliyesambaza meseji za kumkashifu Slaa ni....

Click link hii uone uhusiano wa January na Shamte

Welcome to Mohammed Dewji
kama hizi thread ndio jibu na ushahidi wenu basi nadhani kile ambacho mnakitafuta hakitafanikiwa. Hakuna jibu wala aina yoyote Yakumuhisisha januar katika kile kinachosemwa.

Tatizo ninaloliona hapa ni chuki dhidi ya watu waliotajwa.. Na pia kumuhusisha kikwete na Upuuzi huu inaonyesha ni jinsi gani Jukwaa Hili limegeuka kuwa la mipasho huku MODS wakivaa miwani ya mbao kanakwamba wanakiona hiki kinachoitwa HABARI YA UTATA NI SAHIHI KWAO
 
Viongozi Wa Chadema Wamewachmganisha Wafuasi Wao Na Baadhi Ya Wanasiasa Vijana Tanzania Na Wanaonekana Kufurahia.Na Hii Ni Kwa Wale Vijana Mbumbumbu,wavivu,wapenda Majungu Na Udaku.RIDHIWANI KIKWETE,PAUL MAKONDA,JANUARY MAKAMBA,ZITTO KABWE NI MIONGONI MWA VIJANA WALIOJENGEWA CHUKI KALIIIIIIIIIIIII KUTOKA KWA BAVICHA.UKIWAULIZA SABABU WATAKUORODHESHEA TUHUMA NYIIIIINGI ZA KWENYE VIJIWE VYA GAHAWA NA HAKUNA MWENYE UWEZO WA KUTHIBITISHA.FALSE KNOWLEGDE NI SUMU KALI SANA KULIKO HATA IGRORANCE.
 
Back
Top Bottom