Mzee Wa Republican
JF-Expert Member
- Jul 20, 2013
- 1,663
- 840
Anayejua GPA za ardhi university aweke hapa tuone wote
MUCCOBS ni sehemu ya SUA mkuu. Ni University College not full fledged university...
Tofautisha GPA na Grade scale....Anayejua GPA za ardhi university aweke hapa tuone wote
TCU wanakazi ya kufanya ili kutenda haki kwa wanafunzi wa kitanzania, mfano SUA A inaanza na 75-100, B+ 70-74, B- 60-69, C 50-59 kwa UDSM A ni 70-100, B+60-69, B- 50-59 na C 40-49 Kwa masters sasa hapo kuna harmonized GPA? wa SUA anaweza akakosa isivyo halaliKuhusu ajira ni kweli. Lakini si kweli kuwa TCU wameweka GPA ya 3.8 bali ni 3.5 kwa undergratuade lakini kwa Master lazima uwe na GPA ya 4.0. TCU inaelekeza ili ufundishe watu wa kuanzia digrii ni lazima uwe na 3.5 digrii GPA na 4.0 Master. Mengine ni mfumo ambao umerithiwa kutoka Chuo Kikuu Kikongwe cha Dar Es Salaam. Na SAUT nao mfumo wao ni tofauti sana kwani wao ukipata 70-79 ujue una B+ na A inaanzia 80-100.
TCU wanakazi ya kufanya ili kutenda haki kwa wanafunzi wa kitanzania, mfano SUA A inaanza na 75-100, B+ 70-74, B- 60-69, C 50-59 kwa UDSM A ni 70-100, B+60-69, B- 50-59 na C 40-49 Kwa masters sasa hapo kuna harmonized GPA? wa SUA anaweza akakosa isivyo halali
siyo justification tu bali ndiyo uhalisia "Huwezi kumpambanisha ng'ombe na simba kwa mbio" hata system za assessment katika vyuo vyetu ni tofauti sana. TCU kama wanaelewa majukumu yao wana kazi kubwa ya kufanya.Naona mnajitahidi kufanya justification
karibu huku uraiani utauona utafahamu umuhimu wao kwako.Wale wanasomea kilimo na ufugaji
Wanajamii !!
1. Naomba msaada wenu kuhusu namna GPA za SUA zinavyopatikana. Kwa uwezo wangu mdogo wa hesabu nimekuja kugundua kuwa ukokotoaji wa GPA katika SUA uko tofauti kabisa na vyuo vikuu vingine hapa nchini. Kwani hutumia mfumo wa raw marks:
GPA calculation as per SUA is:
Y= 0.024X + 2.6 for (A; 75-100 marks; 4.4 to 5.0 GPA): Y=0.08X - 1.6 for (B+;70-74.9 marks; 4.0 to 4.39 GPA): Y=0.1X-3 for (B;60-69.9 marks; 3.0 to 3.99 GPA): Y=0.1X-3 for (C; 50-59.9 marks; 2.0 to 2.99 GPA): Y=0.1X-3 for (D; 40-49.9 marks; 1.0 to 1.99 GPA) and Y=0.025X for (E; 0-39.9 marks; 0.0 to 0.99 GPA).
All ranging from Excellent, Very Good, Good, Satisfactory, Marginal Fail and Absolute Fail respectively. Where: Y= Grade point and X=Raw marks (%).
Wakati vyuo vingine kwa mfano A ni A tu hata kama ni 100 ama 80, wote hawa wako katika kundi moja. Hivyo basi ukichukua matokeo ya mwanafunzi wa SUA na kukokotoa kwa mifumo hii miwili unapata GPA tofauti kabisa, yaani wa vyuo vingine mfano UDSM atapata GPA kubwa zaidi. Jamani TCU sijui wanalijua hili, maana limekuwa likiwaathiri wanafunzi wengi wa SUA katika soko la ajira hasa ya kufundisha vyuo vikuu na taasisi za utafiti maana huhitaji GPA zaidi ya 3.8, jamani naomba kuwasilisha kama kuna mtu anaweza kufafanua vizuri itatusaidia sana.
2. Kuhusu ajira za ualimu kwa Tutorial Assistants kuwataka kuwa na GPA ya kuanzia 3.8 ni kuwanyima fursa wale wote wenye 3.5 na kuendelea ili hali nao pia wapo katika kundi la pili la ufaulu, na wana uwezo mkubwa wa kufundisha.
Ninawafahamu rafiki zangu wengi tu ambao wana GPA 3.5 lakini uwezo wao hauna mfano hata hao wenye GPA za juu hawawafikii. Nawaomba TCU waliangalie hili, maana si kila wakati GPA kubwa ndo inatoa picha ya candidate bora.
Ukichunguza sana vyuo vingi bora barani afrika hata ulaya wanataka tu first class ama upper second, ije hapa tanzania ambapo kuna GPA nyingi tu kubwa wamepewa wanafunzi isivyo halali nawasilisha
Nimemaliza SUA mwaka huu na hiyo system ya GPA wana argue kwamba watu hawawezi kufanana mpaka useme A ni A bila kuangalia raw marks! So hapo ndio panapotubana lakini pia ukikutana na watu wanaojua system ya GPA za SUA katika swala la kazi hauna tabu kuchukuliwa koz unaeza ukawa na 3.5 ya SUA na mwingine ana 4.0 ya mzumbe lakini kindani we wa 3.5 ya SUA uko juu zaidi!!
Dats wat av experienced in my tym
Sitarajii mwanachuo uje kuuliza swali kama hili, unajua maana ya neno Overall?Mwenye kujua namna overall gpa inayowekwa kwenye cheti anisaidie
Ni average gpa ya miaka yote uliyosoma au ni average gpa ya mwaka Wa mwisho?
mkuu pole sana natambua maumivu upitiayo hasa unapokutana na meseji za madogowewe kama umeenda chuoni na unataka first class dawa ni kusoma kwa bidiii bila kujali ni chuo gani. Lazima ufikie kiwango cha chuo ulichosajiliwa. sasa wewe kama umeenda SUA kujirusha tu shauri yakoSM , kwanini ukuapply huko tangu mwanzo. Wewe kama ulikuwa usomi shauri lako usituchanganye hapa. Ukilialia hapa hatuna msaada kwani majibu yapo kwenye cheti tayari. cha msingi songa mbele nayo tafuta kazi yoyote. Kwani maisha ni kuwa lecturer?? TAFAKARI