Uhusiano wa ajira za ualimu Vyuo Vikuu, TCU na GPA za SUA

sifa ya kufundisha chuo kikuu inayotambulika na tcu ni 3.5 and above na si 3.8 kama wadau wanavyodai kwa hiyo mwenye gpa hiyo anaweza pata kazi chuo kikuu ya kufundisha but tunapokuja kwenye competition ndiyo unaweza kukuta hawakuchukui kwa vile wapo watu wenye first class.lakini kuna vyuo ambavyo wamejiwekea utaratibu wao wa kuchukua gpa ya 3.8 kama udsm,sua,open na baadhi ya private.sasa hapo unaweza kukuta mtu una first class mwenzio ana 3.5 mkaomba kazi wakati mmoja wewe ukaachwa 3.5 akachukuliwa usiulize kwa nini maana nae ana sifa hamna atakayewauliza (tanzania yetu).nawashauri wale wote wenye gpa 3.5 kama wana uwezo wapige masters hasa sayansi opportunities zipo kibao first degree zina compettion sana na vyuo vimekuwa vingi vinavyotoa degree.na si lazima ufundishe chuo kikuu tu kuna vyuo ambavyo vipo chini ya nacte navyo mishahara ni ileile kama ya vyuo vikuu vyuo hivyo ni kama dit,arusha tech,veta,vyuo vya ardhi kama morogoro,tabora na vinginevyo.kwa hiyo kama una gpa hiyo ya 3.5 bado una nafasi ya kufikia ndoto yako.nawasilisha.

asante sana kwa shule yako mkuu kwani tulishajikatia tamaa ya kuwa maprpfessor!! Lakini sasa matumaini yapo.
 
Bro mi ni msuaso lakini mbona watu wanapata izo first na upper acha uwoga wa maisha kaza acha uyzembe we mwanajesh ukivua maji lazima uyaoge usipende easy come coz itakuwa easy go..................mfumo mzuri na iyo ndo identity ya sua na mzumbe baada ya yule profesa kwenda kule au unataka marks kama za kiu mzeeee. Nawakilisha
 
Nimemaliza SUA mwaka huu na hiyo system ya GPA wana argue kwamba watu hawawezi kufanana mpaka useme A ni A bila kuangalia raw marks! So hapo ndio panapotubana lakini pia ukikutana na watu wanaojua system ya GPA za SUA katika swala la kazi hauna tabu kuchukuliwa koz unaeza ukawa na 3.5 ya SUA na mwingine ana 4.0 ya mzumbe lakini kindani we wa 3.5 ya SUA uko juu zaidi!! Dats wat av experienced in my tym at SUA
mzumbe wana sytem kama ya SUA ktk GPA mkuu.... wamebadili tangu 2009 i thnk
 
Nimemaliza SUA mwaka huu na hiyo system ya GPA wana argue kwamba watu hawawezi kufanana mpaka useme A ni A bila kuangalia raw marks! So hapo ndio panapotubana lakini pia ukikutana na watu wanaojua system ya GPA za SUA katika swala la kazi hauna tabu kuchukuliwa koz unaeza ukawa na 3.5 ya SUA na mwingine ana 4.0 ya mzumbe lakini kindani we wa 3.5 ya SUA uko juu zaidi!! Dats wat av experienced in my tym at SUA[/QU
 
mzumbe and Sua ni kama mapacha formula kibao, mpaka upate 100 ndo ina point 5. Otherwise tuhamie chuo cha kata
 
kweli kaka umeongea la maana sana, kwa hyo sua hakuna 1st class? hao waliopata wao wamezipataje? we acha kulialia komaa uipate na wewe
 
kweli kaka umeongea la maana sana, kwa hyo sua hakuna 1st class? hao waliopata wao wamezipataje? we acha kulialia komaa uipate na wewe

Sua kuna 1st clac, japo zinakuwa chache mno. Nying ni upper 2nd na lower 2nd
 
kumbe mkuu na wewe unaongea bila kufanya research, na siamini kama SUA mmefundishwa hivyo!nilichotaka kukuonesha ni kwamba calculation ya GPA inayotumika SUA na Mzumbe Chuo Kikuu ni hiyohiyo kwa kukusadia tafuta prospectus ya Mzumbe University(kama unaitaka nipm nikupe) hvyo basi mfano alioutoa hauendani na malengo ya muanzishaji thread kwa sababu GPA zote kwa SUA na Mzumbe zinafanana jinsi zinavyokuwa calculated.MIMI NA JIAMINI KWA SABABU NATIMIZA MSEMO WA NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK.Tukirudi kwenye mada nadhani hiyo sxstem inasaidia watu wasome na vilevile pindi unapopeleka gamba lako kama una 3.5 unaonekana upo makini.NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK,TUACHE MALUMBANO TUJENGE TANZANIA ILIYO IMARA. .

Well noted watu wanakulupuka tu, mfano mzuri Best finalist Mzumbe 2014 ana 4.5 but with only two B+.......... Huko kwenye mtelemko GPA ingekua 4.9 , ila mzumbe hiyo system imeisha na walioanza chuo 2011/2014.
 
Duh kumbe GPA deal wakuu.Kwanini vyuo vya Tz sanasana public universities hawadahili watu wenye lower second kama 3.4,3.3 etc lakini vyuo kama Makerere,Nairobi,Kenyatta wanapokea watu hao?

Kudahili kwa ngazi gani? Masters?
 
Linapokuja suala la GPA vijana huwa wanapaniki sana,inferiority complexity inakua kubwa sana. Ipo hivi GPA inategemea umesoma wapi na nini! Hata waajiri wanalijua hilo.
 
Msitudanganye! kwani SUA hakuna 1st class? mi kuna best yangu kapiga food science pale mwaka jana, ana GPA ya 4.3. ukiona una ka GPA ka kizushi ni wewe wala usimrahumu mtu, kuna sehemu unakuwa umekosea. mbona watu kibao tu wapata GPA za hatari pale? mbona walimu wenu wanaowafundisha waliosoma hapo wana GPA kubwa bwana? nitajie ulikuwa course gani ili nikwambie watu walioacha historia pale. wewe itakuwa ulikuwa unashinda misufuni au ulikuwa unashinda apopo ikiwashangaa panya! au ndo wale wale mnaokaa Gaza mkishangaa

watu tu!

food science ni kati ya kozi rahisi SUA watu wanasema
 
Teh teh thread nzuri but watu wanaleta ushabiki kivyuo...na hii inani Kumbusha lecture wangu wa psychology kila alipo kuja class alikuwa akitusisiza kwamba tusome kwa bidii chuo hakuna jurudia...sasa cha msingi tuliokwisha maliza imekula kwetu hapa ni kuwasisitiza wadogo zetu chuo chochote wasome kwa bidii Wapate GPA kuanza 3.5 ..calculations lazima zitofautiane popote pale..Ndo maana kuna chuo cha kilimo, Biashara .Sanaaa .udaktari
 
wanajamii !!
1. Naomba msaada wenu kuhusu namna gpa za sua zinavyopatikana. Kwa uwezo wangu mdogo wa hesabu nimekuja kugundua kuwa ukokotoaji wa gpa katika sua uko tofauti kabisa na vyuo vikuu vingine hapa nchini. Kwani hutumia mfumo wa raw marks:
Gpa calculation as per sua is:
Y= 0.024x + 2.6 for (a; 75-100 marks; 4.4 to 5.0 gpa): Y=0.08x - 1.6 for (b+;70-74.9 marks; 4.0 to 4.39 gpa): Y=0.1x-3 for (b;60-69.9 marks; 3.0 to 3.99 gpa): Y=0.1x-3 for (c; 50-59.9 marks; 2.0 to 2.99 gpa): Y=0.1x-3 for (d; 40-49.9 marks; 1.0 to 1.99 gpa) and y=0.025x for (e; 0-39.9 marks; 0.0 to 0.99 gpa).all ranging from excellent, very good, good, satisfactory, marginal fail and absolute fail respectively. Where: Y= grade point and x=raw marks (%).
Wakati vyuo vingine kwa mfano a ni a tu hata kama ni 100 ama 80, wote hawa wako katika kundi moja. Hivyo basi ukichukua matokeo ya mwanafunzi wa sua na kukokotoa kwa mifumo hii miwili unapata gpa tofauti kabisa, yaani wa vyuo vingine mfano udsm atapata gpa kubwa zaidi. Jamani tcu sijui wanalijua hili, maana limekuwa likiwaathiri wanafunzi wengi wa sua katika soko la ajira hasa ya kufundisha vyuo vikuu na taasisi za utafiti maana huhitaji gpa zaidi ya 3.8, jamani naomba kuwasilisha kama kuna mtu anaweza kufafanua vizuri itatusaidia sana.
2. Kuhusu ajira za ualimu kwa tutorial assistants kuwataka kuwa na gpa ya kuanzia 3.8 ni kuwanyima fursa wale wote wenye 3.5 na kuendelea ili hali nao pia wapo katika kundi la pili la ufaulu, na wana uwezo mkubwa wa kufundisha. Ninawafahamu rafiki zangu wengi tu ambao wana gpa 3.5 lakini uwezo wao hauna mfano hata hao wenye gpa za juu hawawafikii. Nawaomba tcu waliangalie hili, maana si kila wakati gpa kubwa ndo inatoa picha ya candidate bora....ukichunguza sana vyuo vingi bora barani afrika hata ulaya wanataka tu first class ama upper second, ije hapa tanzania ambapo kuna gpa nyingi tu kubwa wamepewa wanafunzi isivyo halali.....nawasilisha

nimemaliza sua mwaka huu na hiyo system ya gpa wana argue kwamba watu hawawezi kufanana mpaka useme a ni a bila kuangalia raw marks! So hapo ndio panapotubana lakini pia ukikutana na watu wanaojua system ya gpa za sua katika swala la kazi hauna tabu kuchukuliwa koz unaeza ukawa na 3.5 ya sua na mwingine ana 4.0 ya mzumbe lakini kindani we wa 3.5 ya sua uko juu zaidi!!
Dats wat av experienced in my tym at sua

sifa ya kufundisha chuo kikuu inayotambulika na tcu ni 3.5 and above na si 3.8 kama wadau wanavyodai kwa hiyo mwenye gpa hiyo anaweza pata kazi chuo kikuu ya kufundisha but tunapokuja kwenye competition ndiyo unaweza kukuta hawakuchukui kwa vile wapo watu wenye first class.lakini kuna vyuo ambavyo wamejiwekea utaratibu wao wa kuchukua gpa ya 3.8 kama udsm,sua,open na baadhi ya private.sasa hapo unaweza kukuta mtu una first class mwenzio ana 3.5 mkaomba kazi wakati mmoja wewe ukaachwa 3.5 akachukuliwa usiulize kwa nini maana nae ana sifa hamna atakayewauliza (tanzania yetu).nawashauri wale wote wenye gpa 3.5 kama wana uwezo wapige masters hasa sayansi opportunities zipo kibao first degree zina compettion sana na vyuo vimekuwa vingi vinavyotoa degree.na si lazima ufundishe chuo kikuu tu kuna vyuo ambavyo vipo chini ya nacte navyo mishahara ni ileile kama ya vyuo vikuu vyuo hivyo ni kama dit,arusha tech,veta,vyuo vya ardhi kama morogoro,tabora na vinginevyo.kwa hiyo kama una gpa hiyo ya 3.5 bado una nafasi ya kufikia ndoto yako.nawasilisha.

mkuu unajua gpa za mzumbe universty zinavyokuwa calculated?pia naomba kujua kozi zinazotolewa mzumbe ambazo na sua wanatoa,otherwise nadiriki kusema umekurupuka kupost au sua wamewafundisha kuongea bila kufanya research.

tatizo let watanzania ni kulalamikia kila jambo pasi kuchukua hatua! Kila chuo kina maamuzi yake when it comes to academics, na chombo kikubwa kabisa kinachamua mifumo ya academics katika respective colleges ni senete ambayo wanafunzi wana uwakilishi. Kama kuna mapungufu yeyote na tuna hoja za msingi kabisa, kwa nini tusitumie vyombo hivi? Nimepata bahati ya kuwa mwakilishi wa wanafunzi huko nyuma nikiwa chuo na mambo kama haya yanajadilika na yanaweza kupata ufumbuzi. Suala la kudai vyuo visiangalie gpa vinapotafuta walimu ni jambo lisilowezekana kwani ndo kipimo pekee cha kisayansi kinachoweza kutofautisha uwezo wa watu ingawa pia ni kweli wenye uwezo mkubwa zaidi wanaweza kwa sababu hii na ile wasipate alama za juu zaidi ya wengine. Jambo jingine, tunapaswa kua na malengo. Kama unataka kufundisha na unajua wanahitaji high grades, go for it, get the 1st class! Yeah, why not.

hakuna anayelalamika kaka nimeweka mada hii kwa ajili ya kupata maoni tu.

sijaposti vitu kama hivi plz dont use ma name, post kama tatu hivi nimeona jina langu
 
wanajamii !!
1. Naomba msaada wenu kuhusu namna gpa za sua zinavyopatikana. Kwa uwezo wangu mdogo wa hesabu nimekuja kugundua kuwa ukokotoaji wa gpa katika sua uko tofauti kabisa na vyuo vikuu vingine hapa nchini. Kwani hutumia mfumo wa raw marks:
Gpa calculation as per sua is:
Y= 0.024x + 2.6 for (a; 75-100 marks; 4.4 to 5.0 gpa): Y=0.08x - 1.6 for (b+;70-74.9 marks; 4.0 to 4.39 gpa): Y=0.1x-3 for (b;60-69.9 marks; 3.0 to 3.99 gpa): Y=0.1x-3 for (c; 50-59.9 marks; 2.0 to 2.99 gpa): Y=0.1x-3 for (d; 40-49.9 marks; 1.0 to 1.99 gpa) and y=0.025x for (e; 0-39.9 marks; 0.0 to 0.99 gpa).all ranging from excellent, very good, good, satisfactory, marginal fail and absolute fail respectively. Where: Y= grade point and x=raw marks (%).
Wakati vyuo vingine kwa mfano a ni a tu hata kama ni 100 ama 80, wote hawa wako katika kundi moja. Hivyo basi ukichukua matokeo ya mwanafunzi wa sua na kukokotoa kwa mifumo hii miwili unapata gpa tofauti kabisa, yaani wa vyuo vingine mfano udsm atapata gpa kubwa zaidi. Jamani tcu sijui wanalijua hili, maana limekuwa likiwaathiri wanafunzi wengi wa sua katika soko la ajira hasa ya kufundisha vyuo vikuu na taasisi za utafiti maana huhitaji gpa zaidi ya 3.8, jamani naomba kuwasilisha kama kuna mtu anaweza kufafanua vizuri itatusaidia sana.
2. Kuhusu ajira za ualimu kwa tutorial assistants kuwataka kuwa na gpa ya kuanzia 3.8 ni kuwanyima fursa wale wote wenye 3.5 na kuendelea ili hali nao pia wapo katika kundi la pili la ufaulu, na wana uwezo mkubwa wa kufundisha. Ninawafahamu rafiki zangu wengi tu ambao wana gpa 3.5 lakini uwezo wao hauna mfano hata hao wenye gpa za juu hawawafikii. Nawaomba tcu waliangalie hili, maana si kila wakati gpa kubwa ndo inatoa picha ya candidate bora....ukichunguza sana vyuo vingi bora barani afrika hata ulaya wanataka tu first class ama upper second, ije hapa tanzania ambapo kuna gpa nyingi tu kubwa wamepewa wanafunzi isivyo halali.....nawasilisha

watanzani tusiwe wakulalamika bila sababu za msingi, kwani japo sua hakuna.wanaopata first class ua upper second? Na kama wapo kwanini ulalamike?
 
Back
Top Bottom