Uhusiano uliopo kati ya mradi wa maji wa ziwa Victoria to Kahama na mgodi wa maji wa Buzwagi

hiyo elimu ya uraia itasaidia nini

Kumbe nawe kilaza ngoja na hilo li uzio la simenti likamilike muwe mnakameruniwa vizuri ndani kwa ndani, ukibisha tu wale wazee fukuzafukuza a.k.a Takukuru wanakutoa nje ya geti
 
Wewe naona kichwani pombe tu. Unafanya mchezo na investment ya buzwagi eeh?

jamaa alitaka uweke scientific argument wewe unaleta pombe.eleza kisima walichonacho kureserve maji kikoje,jins wanavyoharvest maji nk.yawezekana wewe ni mlinz apo getin buzwagi,unajiona unaijua buzwagi.walinz/polis wa migodin wako kwa ajir ya kujikomba kwa uongoz wa migod
 
nipo ndani buzwagi. Sema lingine

Basi angalie wasikukameruni hao watasha kwa kukudanganyishie ile mijuisi ya unga na ile minyama iliyo ozeana toka kwa wale wahindi wa u-turn,nakuwa kwako member wa jf ukigundulika lazima watakupiga chini
 
jamaa alitaka uweke scientific argument wewe unaleta pombe.eleza kisima walichonacho kureserve maji kikoje,jins wanavyoharvest maji nk.yawezekana wewe ni mlinz apo getin buzwagi,unajiona unaijua buzwagi.walinz/polis wa migodin wako kwa ajir ya kujikomba kwa uongoz wa migod

Uko sahihi mkubwa,na huyu atakuwa limbukeni fulani kwanza hoja na picha alizotuwekea vinakinzana,nikama anataka tufahamu tu kuwa yuko Buzwagi ambayo kwa ukomo wa fikra zake ni sifa,kama mtu haelewi hata manufaa ya elimu ya uraia,kulikuwa na umuhimu gani kutuwekea hii thread?!!
 
Back
Top Bottom