uhusiano kati ya jf na waabudu shetani

client3

JF-Expert Member
Aug 6, 2007
2,332
3,152
nimesikia tetesi hizi mara kadhaa ya kuwa popote pale utakapoona kuna ishara/alama za kupanda ngazi,cheo,daraja kutokana na aidha mchango wako (mfano hapa jf kutoka member to senior to member to
senior expert member to Premium Member) au kuongeza idadi ya members (kama wafanyavyo kwenye GNLD,TIANSHI), na kuwapo kwa usiri mkubwa wa utawala/uongozi kama lilivyo la umiliki wa hii kitu; ni dalili mojawapo ya waabudu shetani.
je mmeshawahi kusikia hii wanajf au mnafahamu nini kuhusu hiki,its just out of curiosity tu.
 
Kwahiyo nani anaeabudu shetani?
Watu wanaotunukiwa u'Senior expert member'?
 
Actually katika sekta yoyote mtu anapanda nafasi au cheo kutokana na mchango wake!
Iwe Ofisini- serikalini,
Iwe Msikitini
Iwe kanisani
Mchango si fedha tu...ni namna yoyote ambayo mtu anaweka inputs zake mahala kwa nia ya kuendeleza kitu hicho aidha kiwe sustainable, au kipite mahala fulani!
Sasa back to your allegation, hakuna mantiki wala mashiko katika dai lako!
 
kiukweli ukiiangalia jf imekaa kama secret society watu wanatumia avatar, wanatumia Id za ajabu mda mwingine hata mimi naogopa
 
Angalia sana maneno yako maana karibu vitu vyote duniani except bible, ni vya shetani"msiipende dunia na mambo yake, mtu akiipenda dunia kumpenda baba hakumo ndani yake".
 
hadi uitoe hiyo jazba ndo na mie ntaitoa yangu

unaanzisha zari afu unaogopa kurusha ngumi, **** alah!
Badili kwanza ndo uendelee na mengine.
kwani ipo dhambi hapo au ndo maana unaogopa kuongea bila jazba mkuu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom