victormztz
JF-Expert Member
- Apr 6, 2015
- 1,111
- 613
Unachofanya ni siasa tu bila kutumia facts, wacha hizo hadithi za mtafanya mtafanya, mara mahakama ya mafisadi. Nataka facts, kwamba ni viongozi wangapi wa nyanja ya juu ambao Magu amefunga gerezani kwa ufisadi, zaidi ya kushtukiza watendaji wa chini.
Sisi hapa mawaziri wanne wamepigwa chini kwa kutajwa tu kwenye ufisadi. Yaani ukitajwa tu, hata haisubiriwi uthibitisho, unapigwa chini na ndivyo isemavyo katiba yetu.
Mafisadi wote walioitafuna nchi yenu bado wanapeta, wengi wapo kwenye uongozi wa sasa bado mnaimba kuhusu mahakama ya mafisadi.
Tikisa Media: Maamuzi ya Mahakama ya Hakimu Mkazi kuhusu dhamana kwa mwizi wa Milioni 7 Kwa Dakika .
Kitilya na wenzake waendelea kusota rumande
Ukiachilia mbali waliokwisha fukuzwa kazi na walio nje kwa dhamana.
Nikuhakikishie tu kuwa ndani ya miaka hii 5, hakuna wa kumuibia JPM, na atakaye thubutu basi awe amejipanga kimwili na kiakili kwa dhoruba itakayomkumba