Uhuru wa Arusha ni kesho itakapoamuliwa kesi dhidi ya lema.

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
8,651
2,627
Tukiwa tumejipanga kwa hukumu yoyote,pengine ile itakaayoonyesha udhalimu na kuingilia uhuru wa watu kuchagua itasaidia Arusha kukombolewa kwa njia ya nguvu ya umma.SHUKRANI mipaka imetanuka baada ya kutwaa arumeru.KAMANDA WETU akihujumiwa kesho Natangaza kuwa Tutamwingiza ikulu ndogo iliyopo jirani na mahakama kama ikulu kamili na ofisi ya mkuu wa mkoa PALE TUTAANZISHA CHUO KIKUU CHA MERU MAIN CAMPUS NA PIA JENGO LA CCM MKOA KAMA ADMINISTRATIVE HOUSE.Hapa ndipo penye hekima,mwenye masikio asikie.ARUSHA HATUTAKI mboyoyo.
 
Mahakama ikimnyima haki kamanda tena wa front line peoples' power itatumika kutoa haki hiyo. Hakuna kilicho juu ya NGUVU YA UMMA.
 
uhuru wa Arusha?
Ina maana tuko colonised in a free country na green mamba???
 
Back
Top Bottom