Uhuru kwa mpenzi.

Meale

Member
Nov 24, 2009
91
0
Eti wana JF, hivi ni vizuri mpenzi wako ambaye either ni member au anapenda kuperuzi hapa JF kujua username unayotumia? Je akijua username yako kwa namna fulani hawezi kukunyima uhuru wa kutoa au kuchangia mada hasa zinazohusu mahusiano/mapenzi? Je vp kuhusu kumpa passwords za emails zako?
 
kama hana wivu its ok, lkn kama ana wivu, utani mwingine wa humu jamvini anaweza akachukulia siriazi ikakuletea shida.
 
Eti wana JF, hivi ni vizuri mpenzi wako ambaye either ni member au anapenda kuperuzi hapa JF kujua username unayotumia? Je akijua username yako kwa namna fulani hawezi kukunyima uhuru wa kutoa au kuchangia mada hasa zinazohusu mahusiano/mapenzi? Je vp kuhusu kumpa passwords za emails zako?

Peaneni Usernames, lakini ukitaka kuwa free katika mapenzi fungua ID nyingine ili ubwatuke huko kama sisi!
 
kama mkeo/mumeo mpe ................kama 'mchuchu' usimpe

(hapa nachukulia scenario kuwa watu waliokuwa hawajafunga ndoa wako katika hali rahisi ya kuachana kuliko wale walioko kwenye ndoa)
 
eti wana jf, hivi ni vizuri mpenzi wako ambaye either ni member au anapenda kuperuzi hapa jf kujua username unayotumia? Je akijua username yako kwa namna fulani hawezi kukunyima uhuru wa kutoa au kuchangia mada hasa zinazohusu mahusiano/mapenzi? Je vp kuhusu kumpa passwords za emails zako?

atajijua mwenywe katumwa na nani achungulie?,mimi nipo na mjomba wangu humu mimi neshamjua mpaka user name yake ila yangu hajaijua mbaya zaidi humu anatoa mabombastic mada na michango na home anajifanya ana busara basi mi namchora tu ni moja kati ya starehe yangu niipatayo humu.tena tangu tupo kwenye web forum fulani hivi longi mbaya zaidi kanitumia pm kunitongoza mimi kicheko mwali nishamlia sana voucher zake siendi kwenye miadi namgandisha aibu baba huyo halafu mkewe twaelewana patamu hapo,nimegeuza katuni yangu ya kujifurahisha ninapokasirika.
 
:nono:
 
haina haja ya kupeana hayo ma-username na pwd. kila mtu ana uhuru wake, hata kama unatoa michango ya busara.
 
Peaneni Usernames, lakini ukitaka kuwa free katika mapenzi fungua ID nyingine ili ubwatuke huko kama sisi!

sasa PJ hapa si ni sawa na kumyima tu? maana kama ameamua kukuomba ID maana yake anataka kuwa anasoma michango yako yooooooooote.
 
atajijua mwenywe katumwa na nani achungulie?,mimi nipo na mjomba wangu humu mimi neshamjua mpaka user name yake ila yangu hajaijua mbaya zaidi humu anatoa mabombastic mada na michango na home anajifanya ana busara basi mi namchora tu ni moja kati ya starehe yangu niipatayo humu.tena tangu tupo kwenye web forum fulani hivi longi mbaya zaidi kanitumia pm kunitongoza mimi kicheko mwali nishamlia sana voucher zake siendi kwenye miadi namgandisha aibu baba huyo halafu mkewe twaelewana patamu hapo,nimegeuza katuni yangu ya kujifurahisha ninapokasirika.

Mhhh! wewe huoni hatari hiyo kwa mjomba wako? Then unampa gharama za bure, aisee kwa hiyo ni heri kuificha username yako!
 
kama mkeo/mumeo mpe ................kama 'mchuchu' usimpe

(hapa nachukulia scenario kuwa watu waliokuwa hawajafunga ndoa wako katika hali rahisi ya kuachana kuliko wale walioko kwenye ndoa)
umechema kweli tupu bib wewe!!
sion mbaya kumpa u just gve t to ha/hm bt km hauna makorokocho bt ukiwa km waleeeeeeeeeeeeeeee hali itakuwa mbaya
 
Niliwahi kufanya mchezo huo na mpenzi wangu wa chuo ambae alikuwa na access na e-mail yangu nami pia nilikuwa na access yake. Ilikuwa ni mwendo wa kufungua meseji na kusoma hata kama mwenyewe hana habari, naye pia alikuwa anafungua zangu kama kawa, tulijidanganya kuwa tunaaminiana. Mwisho wa siku kila siku ilikuwa ugomvi kutokana na hizo meseji na mwisho "kamba ikakatika". Tabu ikaja kubadili e-mail address na password.
Kutokana na uzoefu niliopata hapo naona si vizuri kupeana hizo information hata kama ni mkeo!
 
Asante kwa kutushirikisha Katavi....................member mnaona hiyo ni sahihi nawambieni acheni hayo mambo ya kwenye senema; hakuna uhalisia wa mapenzi ya aina hiyo!
 
atajijua mwenywe katumwa na nani achungulie?,mimi nipo na mjomba wangu humu mimi neshamjua mpaka user name yake ila yangu hajaijua mbaya zaidi humu anatoa mabombastic mada na michango na home anajifanya ana busara basi mi namchora tu ni moja kati ya starehe yangu niipatayo humu.tena tangu tupo kwenye web forum fulani hivi longi mbaya zaidi kanitumia pm kunitongoza mimi kicheko mwali nishamlia sana voucher zake siendi kwenye miadi namgandisha aibu baba huyo halafu mkewe twaelewana patamu hapo,nimegeuza katuni yangu ya kujifurahisha ninapokasirika.

na voucher nazo anakutumia pm? au nawe umempa no bandia...khaa kweli mjini kula uliwe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom