Hiyo ni normal wear & tear jamani. Kumbukeni hiko ni kiti si urembo, and as long as mhusika anaweza kukaa comfortably, basi tunaweza kusema kazi ya hicho kiti imekamilika. Punguzeni ushabiki wa kijinga.
Yoyo,
Umekuwa kwa mara kadhaa ukiwahadaa na kuwatusi watanzania,
mfano; Mitanzania mivivu (in one of your last week's post), na hiyo hapo kwenye red pia ni dhihirisho tosha. Wewe kuwa mKenya isiwe taabu, tunajivunia Utanzania wetu ila jirekebishe nchi yetu hatujazoea kuwatusi wenzetu/majirani.
Kwisa kasi!