ww nawe usituletee sera za magamba hapa yaan hata kama kiongoz hafai ww unataka akumbatiwe 2. Dr anajua anachokifanya bana.Mimi binafsi hii hoja ya Dr Slaa kuwa timua timua viongozi siungi mkono.Niko upande wa Mwenyekiti Mbowe na daima nitakuwa hivyo mungu mjalie Freeman awe Rais wetu
Haliuzi una uhakika ? hebu tupe takwimu hapa tujue yapi yanayo uza ? IF NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK HERE IN JF
Wambie hao CCM labda watakuelewa, Maana mioyo yao ni migumu wanawazia mali waliochumamkubwa!ukisikia mtu anakuambia yafuatayo
Kaa vizuri katika mkao wa kungojea matoke ndio utajua nani MFA MAJI na nani SIKIO LA KUFA.kumbuka nyuma walisha sema eti
- Mfa maji haishi kutapatapa
- Sikio la kufa halisikii dawa
- Chadema ni chama cha ukanda-walipoenda Lindi na mtwara wamebaki wanaumbuka wao
- Wakasema chadema inaogopa Dsm-walikaja jangwani aibu ikawashika
- Wakasema chadema ni chama cha msimu-M4C inawaumbua
- Wakajalibu kuiga jangwani-wameishia kupata aibu
ww nawe usituletee sera za magamba hapa yaan hata kama kiongoz hafai ww unataka akumbatiwe 2. Dr anajua anachokifanya bana.
poeple who intend to strengthen their party must conflict in their ideological interest as far as they human being with different capacity of thinking at the end compromise is highly upgraded,ccm with idiotic politicians wont face and attack strong base of CDM through that.ccm has to rethink and rethink to pumpup the party ideologically,doings
Chadema si muanze tu kuwa taasisi ya biashara?? Siasa hamuwezi. CCM ndo baba yenu