Rev. Kishoka
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 4,526
- 1,529
I have just finished taking bi-annuual certification on US Bank Secrecy Act which is a requirement for each individual employed in Financial sector in America .
Baada ya kumaliza, nikajiuliza, je ingekuwa vipi kam Uhujumu wa BPT ungepelekea pesa hizi kutumiwa na magaidi au wauza madawa ya kulevya?
Najiuliza, je Serikali yetu imekuwa ni ya kizembe namna hiyo kuruhusu Uhujumu wa hali hii kubwa kwa matumbo ya "Usalama wa Taifa", "Mafisadi" na "CCM", je itakuwaje kama Uhujumu huu ungehusisha Al-Qaida, Italian mafia, Colombian Cartel, Arms Trafficers, Mercenaries au madudu mengine ambayo ni tishio kwa Uchumi wa Taifa?
Je Serikali yetu imesahau ya BCCI? What if it is found out that Kagoda to the clean money from BOT to finance Al-Qaida? or to pay off purchase of illicit drug trade?
Kwa mnaotaka kujua umuhimu wa chombo cha fedha chenye dhamana kubwa kama BOT na Serikali yetu kuwa makini ni kujiuliza kama pesa hizi zikiangukia mikono mibovu na Wamarekani wakafanya kwelil ikiwa ni pamoja na kutufungia akaunti zet na kuzitaifisha, je tutakimbilia kwa nani?
http://www.occ.treas.gov/handbook/bsa.pdf