Uhitaji wa kukutana kimwili, watoto au vijana wanaupataje?

Hmaster

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
346
86
Huwa najiuliza sana hili suala. Katika kukua kwangu nilijikuta tu nawatamani wasichana na hasa wakijiachia ingawa sijawahi kuelezwa na wakubwa kuwa huwa wanaliwa na wanaume wakati wakiwa na njaa. Sasa swali ni vipi uhitaji huu unajitokeza? Na kwanini mtu anafanya barabara pasipo maelekezo hata ya mtu mwingine? Wakubwa mara nyingi huwafuma watoto wakifanya hivyo na kuwachapa lakini wala hawana haja ya kuwahoji wapi wamejinza hayo. Hii si kwa wenye chumba kimoja tu bali hata magetini. Nawaombeni sana mchangie kwa busara!
 
kaaazi kwelikweli
Hujaeleweka mkuu, umeandika kwa hisia sana
 
Nature do not need a class.... It must happen automatically .... Otherwise, that person is biologically incomplete.....
 
Swali linajibika kibiology zaidi.
Nafikiri ni mambo ya hormones wakati miili inapokuwa inakua.
 
nature take its course....
ni kama vile mimea inakua kufuata mwanga wa jua..
 
Back
Top Bottom