UHANITHI baada ya Kitovu cha Mtoto kukatika na kudondokea Sehemu zake za Siri

Kwanza tuelewe sayansi imethibitika haiwezi kuprove kila kitu ndio maana wengi hapa wabatafuta fact za kisayansi kuthibitisha hili hebu hao ma dr wafanye majaribio kwa watoto wao wakuwazaa kama wote hawajarudi nyuma
 
Wandugu,

Napenda kufahamu kitaalamu juu ya imani au uvumi kuwa mtoto mchanga anapozaliwa lazima mzazi na hasa mama ahakikishe kuwa kitovu cha mtoto huyo kitakapokauka na kudondoka basi kisiguse sehemu nyeti za huyo mtoto. Inasemekana kuwa ikitokea kuwa kitovu hicho kimedondoka na kugusa sehemu hizo nyeti basi mtoto huyo kama ni wa kiume atakuwa bwabwa na kama ni wa kike nae atakuwa msagaji? (hatakuwa na feeling za kuhitaji mwanaume)..

Nahitaji maelezo ya kitaalamu na hasa kwenu nyie wataalamu wa tiba kuhusu hili kwani yanazungumzwa lakini hakuna justification ya kitaalamu inayotolewa zaidi ya kuonekana ni mapokeo ya imani tu.

Hakuna ukweli wowote, kwahiyo hao wazungu, wachina, wahindi, waarabu na waafrika walio mabwabwa vitovu vlidondokea huko?!

Kusimama au kutosimamisha shughuli ni ugonjwa wa kimaumbile tu, ni kama vile kuamini wachawi husafiri kwa ungo, majini, chawi kwa ujumla na mambo mengine potofu yanayoturudisha watz nyuma kimaendeleo, sio muda mrefu tu wazazi wa wazazi wa wazazi wetu walikuwa hawataki watoto wa kike wasome au kwenda shule kwa imani zao, leo mambo yamebadilika na watoto wa kike wana haki sawa na wa kiume..
 
Embu tuachaneni na iman zingine za karne ya 20 kurud nyuma!! sasa hili lina uhusiano gani kibiologia au ndo vijistori vile vya kwenye kahawa na draft mkikosa kazi ya kufanya!!!!!???Embu tuachaneni na hayo mambo wabongo ya vijiimani potofu bana mwisho wa siku utashindwa kufanya mambo ya msingi sababu vijiimani uchwara kama hv visivyokuwa na mashiko.
 
Hii TZ inashangaza kweli kweli! Inaoneka badala ya vijana au watu kusoma waje kuboresha maadili na mila zetu nzuri; wanakuja na mbadala wa kuua tamaduni na mila zetu nzuri; hii kitu hata ulaya ni hivihivi! Mnaposoma na kubahati kwenda nchi za wenzetu mjaribu kuuliza baadhi ya mambo; waliokaidi haya wakitaka proof za kisayansi ndo hao walibahatika kupata watoto MASHOGA.

Ukitaka kupruvu hili jaribu kwa mwanao! Uache kudanganya umma. Mila zipo na inafanya kazi. Ingia nchi za Ujerumani, Rusia na Australia kaulize haya utapata majibu.

Tatizo vijana wengi tukienda nchi za wenzetu tunaenda kushangaa mambo ya kiteknolojia tu.
Mila zipo katika miundo mikuu 2; kiimani na maadili (hizi ndo zinazo weza kupruviwa - mfano mwanamke mwenye mimba asile mayai ati atazaaa mtoto mwenye upara - hapa mila ilitaka mtoto asiwe mkubwa kabla kumzaa kwani enzi hizo hakukuwa na upasuaji; pia hata sasa hakuna mtu anatamani kujifungua kwa upasuaji).

Lakini zote zinazo anguka upande kinzani wa imani hazina pruvu ila zipo na zinafanya kazi; ukitaka yakukute jaribu kwa mwanao uone: cha kusikitisha utakuwa umemharibu hivyo unapaswa ushitakiwa japo hakuna ushahidi.

Au uliza wazazi wako walifanyaje? Usione wewe unafanya kazi vizuri kumbe ni jitihada za wazazi wako, halafu unaponda kitu hii.
Acha Mkwara. ...
Leta proof . kisayansi...
 
Acha Mkwara. ...
Leta proof . kisayansi...
Teh teh teh.
We mnywa mbege leo unataka ushahidi wa sayansi wakati baba zako na kaka zako mpk leo wanaenda kutambika Mount Meru na kuabudu mizimu!
Ama kweli mbege nuksi.

Kuna kabila lenye imani za ajabu ajabu km wachaga wa kigalatia?
Nyie mna miungu mpk ya pombe.

Nilipokuwa kule kishumundu ilikuwa kila siku matambiko na kupiga kabali Kondoo. Na kila kona kuna Matungule ya kutambikia.
Wachawi km balaa nyie.

Leo unataka ushahidi wa Sayansi?

Ovyo sana nyie watu.
 
Nilikaa macho week moja kufuatilia kitovu cha mwanangu kisiangukie sehemu nyeti kwa kile nilichoambiwa
 
Teh teh teh.
We mnywa mbege leo unataka ushahidi wa sayansi wakati baba zako na kaka zako mpk leo wanaenda kutambika Mount Meru na kuabudu mizimu!
Ama kweli mbege nuksi.

Kuna kabila lenye imani za ajabu ajabu km wachaga wa kigalatia?
Nyie mna miungu mpk ya pombe.

Nilipokuwa kule kishumundu ilikuwa kila siku matambiko na kupiga kabali Kondoo. Na kila kona kuna Matungule ya kutambikia.
Wachawi km balaa nyie.

Leo unataka ushahidi wa Sayansi?

Ovyo sana nyie watu.
Angalia jinsi ulivyounganisha mlima meru na wakishumundu. Hua unatabia ya kukofyuzi mambo. Nakumbuka ulikua ukijiita ni Msukuma kumbe ni mnyamwez wa pale Tabora.
Kwa taarifa yako kishumundu imetoa wachagga wasomi Tanzania nzima. Japo wmenyimwa barabara ya Lami. Kafanye tafiti wa kisayansi utafahamu...

Hafu unajiita X-paster we KWELI tambi zilizowekewa X.

Hakika Wala hapana UCHAWI juu ya wachagga wala hapana UGANGA juu ya kaskazini. - Hesabu 23:23

Luka 10:19.

Huku kila mahali kumejaa shule kuanzia primary mpaka vyuo. Huku ni wasomi tu wamejaa.

Ofcoz vigodoro hakuna huku lakini kabila gani halina pombe ya asili?

Hao wagalatia hua nawasoma kwenye baibo. Sijui kama wapo tena.

Vipi huko Ireland hiyo biashara yako ya kusambaza na kuuza sembe imefikia wapi?HUJAKAMATWA TU..KWELI we nouma! Unazuga una unauchungu wa kueneza dini kumbe unatumia kama kasha LA kufichia uovu wako.

Kweli ugaidi mbaya, yaani mpaka umeenda kuishi kwenye kambi zA wakimbizi ulaya unajaza choo na kuchafua hewa bure, huku wasyria wanahaha pa kuhifadhiwa! Ama kweli ule msemo wa bora kuzaliwa paka ulaya kuliko kua binadamu bongo umetimia kwako. Vipi ule.
mpango wako wa kuwahi NgONo na GOngO peponi umefikia wapi. Nakuona bado unashoia shoia tuu. Vipi dunia tamu zaidi nini?
Au uko kwenye queue wewe ni wa milioni moja na ushee hivi?

Hafu next time kama unataka kuharibu uzi peleka uchafu wako wenye forum ya dini kule. Lunatic!
 
Shangazi mipasho unaijaribu lkn Mchaga na taarabu ni km Mjaluo umwambie akupikie pilau. Ni balaa tupu. Hio pilau haitolika.

Nyie watu wa kishumundu asili hamna hio elimu mpate wapi?
Imani za kishirikina mpk kiunoni.
Ukute we hapo mkubwa mzima umevaa hirizi kiunoni. Na ingine kwapani. Eti unajilinda! Kambafff.
Leo mtu anasema Ukidondokewa na kitovu unakuww Khanith eti na Wewe Mchaga wa Kishumundu unataka Ushahidi WA KISAYANSI!

Hizo hirizi mnazo wavisha watoto wenu mlizitafuta kwenye Maabara?

Wanasema waungwana "Usitukane ukunga uzazi ungalipo"
Sijui hapo utakuwa umeelewa?

Manake wachaga (wagalatia) na Misamiati ni sawa na kumwambia Muha (mgalatia) akuandalie HALUA, ni vichekesho vitupu.
 
Nielewe nini wakati maneno umetunga mwenyewe? Wewe ni mnyamwez mjinga zaidi kuliko wanyamwezi wote duniani...ndio maana ukiona mchagga kikofia unadhani kasadiki, kwa taarifa yako, tunakula nao kitimotoz sana. Nenda bomaNg'ombe ukaone maajabu ya musa!. Au sogea tengeru mpaka usa. Uone kitimoto inaliwa na nani. ujue huko wamekuja ku-hustle, na watarudi kundini soon.. Kwanza tangu huu utawala umeanza ni wengi wamerudi, nimeshuhudia. Jasiri haachi asili. Hiyo ndo siri nakupa.
Nimegundua mtu akikushinda kuongea, we mshinde kukaa kimya.
We endelea kuuza sembe... Mnywa mainzi we! Hivi kumbe cholera imekukosa kwakua uko kwa wazungu. Ungevaa nepi we gaidi.
Kwanza hakuna mkimbizi kutoka Tanzania. Walipaswa wakutie nguvuni ..
 
Shujaa my foot...
Acha mipasho na rusha roho.
Nauliza zile hirizi mnazovaa viunoni mmezipata maabara? Na mnapokunywa ule uharo wa mbuzi uliochanganywa na damu vipi mnatumia kopo moja watu 30?

Ndio maana mnakufa ovyo na maginjwa ya ajabu ajabu.

Jipe jibu usitoke nje ya mada.
 
Huwezi kufanya utafiti katika mwili wa binadamu. Ndo maana hakuna atakayekubali kumtoa mwanae, kwa mantiki hiyo ni bora kuchukua kama mapokeo
Huyu mnywa Uharo 2013 asikupotezee muda.
Huyu ni mchaga wa kishumundu.

Niulize mimi habari zao.
Hakuna mtoto wa kishumundu hatta mmoja asie na hirizi kiunoni na kwapani.
Muulize hizo hirizi walipewa kwenye Maabara ya kisayansi?

Kila mwaka wanafanya matambiko na kunyonga mbuzi au kondoo makaburini. Hio ni Sayansi ?

Watizame hapa chini. Wachaga na makaburi ya mizimi uani kwao.

5ff53260ad39d6143abf49d93bdbdcbb.jpg

Halafu unajaribu kumuelekeza mtu anaenywea Kopo mpk leo 2016?

63764682789729698d42488c61caf960.jpg

Na kupikia Kwenye Mapipa ?

5e29cb4cbf662d69b638f365a29a284a.jpg

Hawa viumbe meno meusi wasamehe bure .
 
Nikweli imani zipo lakini hazija thibitishwa na scientific researches. Nilitaka aje na hoja zA kitaalamu. Kuthibitisha claim. Na Sio afanye utafiti wa waathirika.
 
Huyu mnywa Uharo 2013 asikupotezee muda.
Huyu ni mchaga wa kishumundu.

Niulize mimi habari zao.
Hakuna mtoto wa kishumundu hatta mmoja asie na hirizi kiunoni na kwapani.
Muulize hizo hirizi walipewa kwenye Maabara ya kisayansi?

Kila mwaka wanafanya matambiko na kunyonga mbuzi au kondoo makaburini. Hio ni Sayansi ?

Watizame hapa chini. Wachaga na makaburi ya mizimi uani kwao.

5ff53260ad39d6143abf49d93bdbdcbb.jpg

Halafu unajaribu kumuelekeza mtu anaenywea Kopo mpk leo 2016?

63764682789729698d42488c61caf960.jpg

Na kupikia Kwenye Mapipa ?

5e29cb4cbf662d69b638f365a29a284a.jpg

Hawa viumbe meno meusi wasamehe bure .
We njoo na picha zA watu wanapika Mkomboti sijui, lakini ujue nina ushahidi ambao ni documented, unaokulazimu uwe unakula mainzi.(flies) kama sehemu ya mlo. Na zile uji zA ngama na suna. Picha kitu gani, kila mtu anaweza ku-edit picha. Najua nikiuweka hapa utanipiga ban.

We endelea kupiga kichwa chini lakini as long as imekua documented hata uelimike vipi, kojo LA ngamia utakunywa na kulisifu. Hata uone utata vipi kwenye hizo documents, huna ujanja, Lazima unywe.Lazima ufuate.Lazima!! Utafanyaje sasa? No way...
Una macho huoni. Ama KWELI penye miti mingi hakuna wajenzi.
 
Mchaga eti nae katoa msamiati!
Teh teh teh teh .

Sasa huo msamiati umeingiaje hapa.
Au basi tu na wewe uonekane unajua kiswahili.
Mbege kitu mbaya sana. Ndio maana mnaoza meno nyie.

Nakuuliza tena.
Zile hirizi mnazovaa viunoni mmepewa na Madaktari?
Washirikina sana nyie wala kitimoto.
Kazi kuabudu makaburi na mizimu.
 
Huna kiswahili cha kunizidi. Namudu kukiandika na kukitamka vizuri sana. Kiswahili kwa mtanzania kama Mimi, si kitu cha kuhoji, sikosei herufi wala matamshi.
Ila huo uswahili mwingine peleka kuleee
Kama unaabudu shetani we si mshirikina tu. Mbona unakwenda mbali hivyo.?! Au shetani wako mzuri?
 
Back
Top Bottom