kwaio ni kuanzia tarehe 15 mpaka lini?au ndio tarehe hio hio 15?Jumatano ya wiki iliyopita nilienda TAMISEMI na nikakutana na jamaa angu juu ya uhamisho huo. Akanijibu kuwa ndo wapo hatua za mwisho na watatoa kuanzia trh 15 januari hii. Mwenyewe nilishauza vitu mpaka hela nayo nishaitumbua kidogo.
Nilikuwa najiona mjinga kuuza vitu kumbe sko peke yangu nimeuza wengine nimewakopesha wananilipa kidogo kidogo basi sawa trh 15 ni next week Friday hakuna shidaJumatano ya wiki iliyopita nilienda TAMISEMI na nikakutana na jamaa angu juu ya uhamisho huo. Akanijibu kuwa ndo wapo hatua za mwisho na watatoa kuanzia trh 15 januari hii. Mwenyewe nilishauza vitu mpaka hela nayo nishaitumbua kidogo.
kwaio ni kuanzia tarehe 15 mpaka lini?au ndio tarehe hio hio 15?
acha tusubiri,ila mie nasubiria mpaka tarehe 22-01-2016,hizi presha za tarehe 15-01-2016 mie siziwezi!hakutaja tarehe rasmi bali alisema wanataraji tupia mzigo kuanzia hiyo trh 15. Ule waraka wa uhamisho unasema kuna uhamisho wa july na mapema januari so tusubir hiyo trh 15.
Hakuna anaependa kuhama coz kuhama kunarudisha maendeleo nyuma na inaincur cost lakin hujui matatizo tunayoyaface huku porini ikiwa ni pamoja na barabara mbovu hakuna maji salama hakuna hospital zenye wataalamu usafiri mbovu usalama mdogo hakuna network ngoja nisiongee jins mabos wetu wanavyotufanyaInaonyesha watu wana penda sana kuhama lkn jiandaeni psychologically kwa jibu lolote ili kuepusha kuumia sana pindi jibu likiwa sio ulilo tarajia
kuhama kwa mtumishi ni jambo la kawaida sana so Mimi sishangai,hata mtahiniwa anaposubiria matokeo hajiwekei kushindwa ila kushinda,naamini tupo tayar kwa majib mawiliInaonyesha watu wana penda sana kuhama lkn jiandaeni psychologically kwa jibu lolote ili kuepusha kuumia sana pindi jibu likiwa sio ulilo tarajia