Uhamisho wa watumishi wa Serikali

kuna watu wamenipigia cm wanasema wapo Tamisemi niwape hela wanisaidie kupata kibali cha Uhamisho,kweli kibali in mpaka hela au wanataka kunitapeli jamani? taratibu zinakuwaje kwa wanaojua fomu zikifika Tamisemi? NISAIDIENI

Tamisemi hawatozi hela kwa ajili ya kibali, huyo anaetaka hela ili akupe kibali ni tapeli na hayupo tamisemi. Pia no vema ukaweka namba zake hewani ili jamii imtambue.....sawa Saradaima Johnson?
 
Hofu yangu no kwamba nilipeleka Mkoani sasa he Mkoani walipeleka TAMISEMI pressure ya kwanza, ya pili TAMISEMI watapitisha? pressure ya pili. Kazi kweli
 
Sasa pressure ya nn na wakati ulifata taratbu zote?na kama hjagushi n lazma wapitishe,
 
Hofu yangu no kwamba nilipeleka Mkoani sasa he Mkoani walipeleka TAMISEMI pressure ya kwanza, ya pili TAMISEMI watapitisha? pressure ya pili. Kazi kweli
Yani hata mm hii pressure ninayo nilitaman mkoani niwaambie kuwa nipeleke mwenyewe tamisemi
 
Jaman.. hakuna fununu yoyote ya ayo majina mpaka sasa..? au wametuma vbali tu kwa halmashauri?
mana mpaka sasa sielewi..
 
kuna watu wamenipigia cm wanasema wapo Tamisemi niwape hela wanisaidie kupata kibali cha Uhamisho,kweli kibali in mpaka hela au wanataka kunitapeli jamani? taratibu zinakuwaje kwa wanaojua fomu zikifika Tamisemi? NISAIDIENI

Unapigwa hapo shituka wewe.
 
kuna watu wamenipigia cm wanasema wapo Tamisemi niwape hela wanisaidie kupata kibali cha Uhamisho,kweli kibali in mpaka hela au wanataka kunitapeli jamani? taratibu zinakuwaje kwa wanaojua fomu zikifika Tamisemi? NISAIDIENI
Kama barua yako ipo tamisemi subiri majina, huwa yanatoka January mwishoni
 
Kama ulifata taratibu zote za uhamisho na kuambatanisha kila kitu kinacho hitajika
Uhakika wa kuhama ni 99.99%
 
Back
Top Bottom