Uhamisho wa watumishi wa Serikali

asaliv

Member
Dec 29, 2015
84
14
Kwa wale walioomba uhamisho wa January 2016 kupitia tamisemi,ni lini majina hayo yatatolewa?kwa maana January ndo hii,samahan kwa anayejua naomba atujuze:)
 
Last edited:
Naomba kujuzwa jamani ndo tnakarbia kufungua shule hivo na hatujui n lini utatoka uhamisho huo,naomba wana jamvi kwenye kujua yanatoka lini majina hayo,anijuze,asante:D
Idara gani hiyo mkuu!
 
Naomba kujuzwa jamani ndo tnakarbia kufungua shule hivo na hatujui n lini utatoka uhamisho huo,naomba wana jamvi kwenye kujua yanatoka lini majina hayo,anijuze,asante:D
Ww subiri tu tamisemi watayatoa muda c mlefu coz watumishi wote walio chini yao majina utilewa pamoja hawaangalii kama ww ni mwalimu au nani
 
kuna watu wamenipigia cm wanasema wapo Tamisemi niwape hela wanisaidie kupata kibali cha Uhamisho,kweli kibali in mpaka hela au wanataka kunitapeli jamani? taratibu zinakuwaje kwa wanaojua fomu zikifika Tamisemi? NISAIDIENI
 
Kwani umeshapeleka maombi yako au unataka kufanya juu kwa juu,hiyo n hatar sana mkuu
 
Kwa wale walioomba uhamisho wa January 2016 kupitia tamisemi,ni lini majina hayo yatatolewa?kwa maana January ndo hii,samahan kwa anayejua naomba atujuze:)

mi mwenyew ni muhanga wa hii ktu..kuna jamaa kanambia wk ya kwanza ya januar hii au ya pili mwnzon ko tuzd kuombeana mana pressure inazd kupanda utazan tunasubir matokeo ya mitihan..
 
Yaaani tuzd kusubiria japo mda ndo unaenda Na watoto wanatakiwa kufungua shule sa sjui itakuwaje
 
kuna watu wamenipigia cm wanasema wapo Tamisemi niwape hela wanisaidie kupata kibali cha Uhamisho,kweli kibali in mpaka hela au wanataka kunitapeli jamani? taratibu zinakuwaje kwa wanaojua fomu zikifika Tamisemi? NISAIDIENI[/QUOT
Usijalibu kuwapa chochote kama ulifata taratibu zoto kuanzia mkuu wako wa idara, mkurugenzi wote wamepitisha maombi yako na ngazi ya mkoa pia ww subil tu tamisemi watatoa majina ya waliofanikiwa kuama na ambao hawajafanikiwa na yote yanawekwa kwenye website yao zen barua zinafuata
 
Hata mm nasubr last year uhamisho wa January ulitoka trh 21January so tusubr mpaka hyo tarehe au before
 
Cha mhimu tuwe wavumilivu tu,kwasabu kama January
Mwaka Jana yalitoka tar 21,na mwez july yakatoka tar11 kama sikosei,so tuvumile tu,
 
Kweli asa tuvumilie ila mm nishauza nusu ya vitu yani uhamisho ukigoma ntaumia sana nimeuza ili uhamisho ukitoka nisiviuze kwa hasara
 
Du, tupo wengi sana. Kwa mfano kubadirishana, wakurugenzi watendaji ndo hutuma majna, maana mie barua ya mwenzangu ilikuwa na dosari.
 
Du, tupo wengi sana. Kwa mfano kubadirishana, wakurugenzi watendaji ndo hutuma majna, maana mie barua ya mwenzangu ilikuwa na dosari.
OK pole, kwa hiyo mlifanikisha?anyway tuwe Na matumaini japo roho zpo juu juu
 
Back
Top Bottom