Uhamisho kwa walimu walio omba kuhama dec.2014

MWANAKASULU

Senior Member
Nov 18, 2011
195
67
Wana jamvi;
Samahanini nani mwenye tetesi na kujua kipi kinaendelea pale jikoni Tamisemi juu ya uhamisho Wa watumishi Wa umma hususani walimu?

Uhamisho huu namaanisha Kwa wale waliomba Uhamisho Wa Dec.2014 .Je vibali vya uhamisho vitatoka lini????
aulizaye siyo Mjinga anataka kujua. (Mulakoze chane-Asante sana).
 
Vibali vikitoka majina yanawekwa mtandaoni .mwajiri wako (i mean ma- ded) atakujulisha ukifuatilia.
 
Asante sana Ighombe Kwa positive Reaction.
nikweli najua vibali vikitoka lazima majina yatoke mtandaoni na taarifa Kwa waajiri.
mm ninachoomba kujua ni lini pengine tutazamie majina kuwekwa myandaoni? kuna mtu majuzi alinipigia simu kuwa kibali chake cha kuhama kimetoka mm sikumwamini ndipo nikakumbuka kwamba humu jamvini naweza pata Ukweli kamili nikiamini humu huenda wamo watu Wa Jikoni yaani Tamisemi.
 
Kabla hawajotoa majina wanatuma vibali kwa ma DED, hivyo huyo anaweza kuwa amepata kwa kufatilia kwa DED wake na kapewa kibali chake hata kabla majina hayajotoka.
 
Duu kweli??
so kipi kinachowahi? kibali ndo kinawahi kutoka kwenda Kwa DED au Majina yanatoka kwanza ndo vibali vinaanza kutumwa??? so una maanisha vibali tayari vimeshatumwa Kwa Wakurugenzi tayari?
 
Vibali vinatangulia, ndo maana majina yakitoka tu unaenda halmashauri kuchukua kibali chako.
 
Inategemea na mkoa ulipo,mikoa ya pembezoni vibari huchelewa kufika eg Kigoma,Rukwa etc.In short majina hytangulia kutoka mtandaoni ndo vibari vinafika kwa Ded.Trust me nina uhakika na hicho,huyo jamaa'ko labda kafanya shortcut ana mtu wake juu
 
Ila TAMISEMI nao plan zao zimekaa vibaya, mpaka leo tarehe 20 hawajatoa majina? Ingependeza km wangekuwa wanatoa June na Dec.
 
hii nchi uzembe umetutawala mno.,sioni sababu ya msingi majina kucheleweshwa.
 
Wana jamvi;
Samahanini nani mwenye tetesi na kujua kipi kinaendelea pale jikoni
Tamisemi juu ya uhamisho Wa watumishi Wa umma hususani walimu?

Uhamisho huu namaanisha Kwa wale waliomba Uhamisho Wa Dec.2014 .Je
vibali vya uhamisho vitatoka lini????
aulizaye siyo Mjinga anataka kujua. (Mulakoze chane-Asante
sana).

Naomba uniamini Mkasulu kwa maana mimi si mtu wa hovyo wala Mkurupukaji kama Slaa. Kwamba, vibali tayari vimetoka. Niliomba kuhama na kwamba nimepigiwa simu na ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri yangu leo. Nimeambiwa niende ijumaa nikachukue kibali changu.
 
Hongera kama umepata lkn utaratibu huwa hivyo kweli kimya kimya????? Mm sijapigiwa simu na nimepiga simu nikaambiwa havijatoka.
mm nilitarajia majina yawekwe Mtandaoni.
 
mm kama mwanzilishi Wa Uzii huu naomba kushukuru aliyeleta link ya majina kutoka Tamisemi.
pia I thanks God jina langu limo
 
Back
Top Bottom