Uhamishaji wavamizi mabwepande kuna harufu ya rushwa

edward chengula

New Member
Feb 26, 2011
1
1
Kabla ya zoezi la kuhamisha wavamizi wa maeneo ya watu katika kata ya Wazo na boko wilayani kinondoni, zoezi lililo ratibiwa na kamanda wa polise Kenyela. moja wa wamiliki wa maeneo yaliyovamiwa alitamba katikti ya watu waliokuwa kwenye mstari wa kuchukua fedha kwenye ATM machine kuwa sasa wameamua kutumia fedha zao ili kuwaondoa wavamizi hao kwani wameshatoa fedha polisi na maeneo mengine ya mamlaka ili kufanya zoezi hilo liende. baada ya wiki moja tu polisi wakavamia na kubomoa makazi ya wavamizi hao.
 
Back
Top Bottom