Uhamiaji,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,, ,,,,,,,

MwanajamiiOne

Platinum Member
Jul 24, 2008
10,470
6,562
Hivi mpaka wahamiaji haramu wagome huko Mbinga, Songea kwa shinikizo la kurudishwa kwao, Serikali iko wapi? Nani analipia hizo Drip walizotundikiwa hao waliogoma, vitanda na huduma wanazopewa??.......Hivi kwa nini kusiwe na sheria ya kuwa na wiki moja tu tangu kukamatwa kwa wahamiaji haramu na kurudishwa makwao?? Mpaka wagome kweli??
 
Tena wamesema rais alitoa msamaha kwa wahamiaji hao tangu Desemba 2011. Sasa walikua wanasubiria nini kupelekwa kwao?
 
Ujanja ujanja tu hawa wahamiaji haramu wanakura sana jasho letu walipa kodi
 
Nakumbuka kuna wahamiaji haramu waligoma mpaka enzi hizo aliyekuwa Laurent Masha alipokuja kumaliza mgomo huo.

Kuna shida fulani katika hili.

Lakini vilevile ni somo kwa hao wahamiajo haramu ili wakirudishwa iwe funzo kwao. Ukiwafanyia wepesi watageuza mchezo hao.
 
Back
Top Bottom