Uhamiaji yaomba wananchi kuwataja Wahamiaji haramu nchini

Je unataka list ya wasio watanzania tu au wasio watanzani alkini pia si wazalendo?
Kama kigoma si tanzania kama baadhi wa wabunge wake wanavyodai basi zito si mtanzania lakini nimuonavyo mimi ni mzalendo je unataka hata watu wa aina hii? au ?
.....niliwahi kusikia chigweyemisi ni mzambia, sijua kwa sababu anafanana kwa mbali na kaunda au umazabe wa wanasiasa tu.....

Tusijidangane kuuliza ukabila ni muhimu sana, kuliko kujifanya sisi hatuna ukabila kwa kuwaacha wairani/wakenya/wamalawi wanatufilisi ni heri kujua asili ya kiongozi wetu yoyote. Kwa maoni yangu kuogopa kuulizwa kabila kunaonyesha kuwa aogopaye si mzawa so anatumia kivuli cha kutokuwa wakabila ili kuficha ID yake
 
Jaman hii mikoa ya pembezon ni utata mtupu hasa huko north western Tz ni hatari,ukiwachimba wanakwambia waliingia Tanzania 1972 kutoka Burundi. Kuna wengine wafadhili wakuu wa magamba. Hata mbunge wa kigoma mujini ni wa nchi jirani.
 
WaTanganyika mmetoka udini sasa mmeingia utaifa kisha mtamalizana kwa ukabila.

Poleni sana.
 
huku nchi za kwetu ndo tunahangaika na nani ni mtanzania na nani sio...
hii dhana inatumiwa tu kuchafuana kifitina..
kama vile zama zile akina JK walivyoitumia kumuondoa SAS kwenye kinyang'anyiro cha urais.
kuna wakati Jenerali ulimwengu aliambiwa si mtanzania..
Simba nae aliambiwaga.

na sasa si ajabu ukaambiwa Sita ni mkongo eti kisa tu Jina sita linaonekana miongoni mwa majina ya mke wa raisi Joseph Kabila yaani Oliver ... Sita...

Mbona kule marekani Anord Swharz ni mu australia lakini aliogombea U governor akapata?
 
Mkullo ni moja ya mawaziri, uraia wao unatia shaka, mwenye data tafadhali ufahamishe umma wa wana JF.
 
Jaman hii mikoa ya pembezon ni utata mtupu hasa huko north western Tz ni hatari,ukiwachimba wanakwambia waliingia Tanzania 1972 kutoka Burundi. Kuna wengine wafadhili wakuu wa magamba. Hata mbunge wa kigoma mujini ni wa nchi jirani.

Mh! hapo kwenye red napata wasiwasi nawe pia. lol.
 
Una maana mzee Aikaeli Mbowe(marehemu) wa pale kijiji cha Nshara ninayemfahamu tangu utotoni au mtu mwingine?. Thibitisha la sivyo utakuwa umelogwa au umetumwa.

Hakuna Mtanzania hapo. Wote ni Watanganyika. Mimi nilisikia mahala kuwa baba ya JK alikuwa DC enzi hizo. Akakutana na mama ya Membe huko walikokutana. Akazaliwa Membe. Akatelekezwa na DC Mrisho Kikwete. Wamisionari wakatoliki wakamchukua kumlea. Membe akasoma vizuri. Akaingia UwT. Sasa yuko pale alipo.

Inasemwa kuwa Freeman eti ni mtoto wa Julius! Maneno ni mengi mtaa huu.

Mkullo ni moja ya mawaziri, uraia wao unatia shaka, mwenye data tafadhali ufahamishe umma wa wana JF.

Wanatumikia nchni gani hao watu?! Nadhani kama kuna weusi wa akili na mawazo upo Afrika, kinachotakiwa ni system kwa maslahi ya wananchni bara kama la Africa lina advantage nzuri sana kuwa karibia watu wote jini ya jangwa la sahara wana uhusiano kiaina lakini tumeshindwa kutumia hiyo historia kujiunga na kujenga afrika iliyo imara kwa maslahi ya waafrika wote badala yake unafanya kazi kwa maslahi ya wazungu!

Jiulize kwa mawazo kama hayo yako kama Barak Obama Jr angelikuwa rais wa Marekani leo maana hakuna hasiyejuwa kuwa baba yake alikuwa Mkenya na kazikwa kenya na Marekani wanamuhudumia bibi yake hapo kenya, hii hoja haina nguvu, labda kama kuna ushahidi kwamba hawa watu wanatuibia na kujenga nchni zao walikotoka basi ushahidi huo uwekwe hapa lakini siyo ubaguzi.
 
Mbona sasa hivi tunahudumiwa nakutazamana kwa dini zetu? Kwan udini kuna mahala umeruhusiwa? Mahala fulani hapa nchini ktk kusoma wanafunzi hwa discuss pamoja wenye imani tofauti. Semuse na huo utanzania,

Inashangaza kuona waziri anasimamia masuala bungeni na muda wote anapojibu maswali anatoa mifano ya nchi za nje, nenda huko kama unapenda kwenu tuachiani tz yetu bwana
 
List hii hapa............................
  1. Dr Kigwangala-Burundi
  2. Mustapha Mkulo-Malawi
  3. Mkapa-Msumbiji
  4. Rostam-Falme za kiarabuni
  5. Mkuu wa kaya-sio mtanzania lakini bado sijapata nchi yake...
 
Dr.Slaa mbona ni ndugu wa Kalonzo Musyoka, baba yao ni mkamba hebu waangalieni tu jinsi wanavyo fanana.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom