Uhamiaji wanafanya nini? Kumbe Hussein Bashe si Raia!

Status
Not open for further replies.
Rost Tamu la Aziz at work! Hii ishu Jakaya kikwete anaijua vizuri na hizi danadana zinaibuka pindi huyu dogo anapotaka madaraka, nje ya hapo ishu yake ni domanti! Kwanini iwe hivi?
 
Huu ni uhuni. Bashe ni raia halali kwa mujibu wa taratibu na sheria za uhamiaji Tanzania. Sijui kwa nini watu wanaendeleza hizi porojo za kizamani. Wanashindwa kupambana na huyo kijana kwenye ulingo wa siasa, sasa wanajificha kwenye uraia wake! Very sad!
ungechanganua na wewe kama alivyofanya mtoa mada tungekuamini.....kuna ugumu gani kwa hilo? Usimtetee kijuu juu tu namna hiyo.
 
Mimi nimefuatilia swala hili kwa kusoma maelezo aliyoyachapisha Huseni Bashe kwenye mitandao na pia kuongea na baadhi ya wazee wa hapa mjini Nzega(walioipokea familia ya shehe Mohamed Ibrahim na mkewe) na kubaini ukweli ufuatao, pia nimesoma sheria ya uraia(The Tanzania citizenship act, principal legislation, Chapter 357 revised edition, 2002)

Aliyeandika hiyo barua sidhani ka anajua alichokiandika pamoja na kupoteza muda na cost kufatilia uraia wa jamaa.
Mwandishi mwenyewe kasema Bashe kazaliwa 26.8.1975 Nzega.. Sasa utata wa uraia wake unatokea wapi? Au hajui kuwa kuna uraia wa kuzaliwa?
Mwenzio katuonyesha kwa nn amesema hayo.....Weye +255 tuambie una-base wapi
 
Wasomali wana tabia ya kutosahau asili zao..mwacheni apande to the highest position mje muone balaa lake,.rage katufundisha mengi

Nyie magamba, kwanini hamtumii akili zenu dhaifu kujiuliza sababu halisi za msomali mwingine [ Kinana ] kujitoa siasa zenu wakati huu ambapo chama lenu linampasuko?
 
Nyie magamba, kwanini hamtumii akili zenu dhaifu kujiuliza sababu halisi za msomali mwingine [ Kinana ] kujitoa siasa zenu wakati huu ambapo chama lenu linampasuko?
sasa hapo kitu gani kinanifanya niwe gamba?acha kukurupuka mkuu
 
kazi kweli kweli siku ya siku utasikia nchi kapewa msomali au raia wa India atuongoze.
 
Nimesoma uzi wote Bashe sio raia. Ila yupo jirani na baadhi viongozi wa ccm. Ambao wanampandisha na kumshusha kwa maslai yao... Ushauri kwa Bashe bora ajipange aombe uraia rasmi kwa kufuata taratibu na kanuni za nchi.!

Mkuu, tatizo ni kuwa, Bashe ameisha oga maji ya matope yasiyofutika labda azaliwe Bashe mwingine. Kumbuka hawezi kufuta kile alichokianisha nchini kupitia chama na serikali. Kuna jera inamkodolea macho kwa kughushi na kuishi nchini bila uraia halali.

Haya ndiyo matatizo ya kutaka kuwa public figure wakati mwili umejaa matope yasiyofutika.

Haya yote yasingetokea kama angekuwa ordinary person. Hivi hakujua kama siasa ni dirty and dangerous game.

Ama kweli yetu macho na masikio.
 
Huu ni uhuni. Bashe ni raia halali kwa mujibu wa taratibu na sheria za uhamiaji Tanzania. Sijui kwa nini watu wanaendeleza hizi porojo za kizamani. Wanashindwa kupambana na huyo kijana kwenye ulingo wa siasa, sasa wanajificha kwenye uraia wake! Very sad!


FJM mbona kuna in-consistences kwenye fomu zake mbili hizo dates za kuzaliwa hazifanani!!!!

Is it true some one can forget his birth dates?
 
Tatizo la Kigwangwala ni kwamba wananchi wa Nzega hawamtaki wanampenda Bashe yeye amebaki kung'angania tu na kupima makelele huku na huko. Kumchafulia jina Bashe hakutampa ubunge 2015, yeye alitakiwa awe busy kuwafanyia mambo mazuri wana Nzega badala yake anakuwa bize kupambana na Bashe.
 
Baba yake mzazi fomu moja 1928 nyingine 1947 na yeye kazaliwa 1977 na nyingine 1976 kaazi kweli kweli

Hapo napo kuna neno. Kwanini mtu mmoja miaka ya kuzaliwa miwili tofauti. Huyu msomali ana utata sana. ndo zao lakini. ujanja ujanja tu kama ndege joni.
Fukuza akale majani (mirungi) kwao. hana faida yeyote hapa TZ.
anatafuta uongozi wa juu ili baadae afukie madhambi yake na ndugu zake.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom