Uhamiaji: Mchungezeni mrembo Richa Adhia

Nini Richa mbona Marehemu Jamal Waziri wetu wa Fedha enzi za Mwenye nchi Marehemu Nyerere alikua Mcanada na alipostaafu akarudi kwao na alipokukufa akazikwa kwao, huku alikua MTAALAM I think. Lakini Mtikila huwa asema wapo Wairan, Wasomali, Wahindi, Wapakstani na Wakenya n.k. kibawa wanahondomola vijisenti vyetu kimtindo
 
Mnaumiza vichwa bure.Mashindani ya urembo ya aina hii yanawahusisha wae wenye asili ya India lakini ni wana uraia wa nchi zile wanakoishi.

Hayakuanza jana,yalikuwapo ila Tanzania ndiyo mara ya kwanza lushiriki,kwa hiyo kidogo inaleta taabu kwenye vichwa vya racists!
 
Daaaaaaaaa...........kula tano mkubwa..........
 
Mitanzania mingine ina wivu wa kijinga sana. Inakuuma kuona huyo mdada ana miliki passport mbili?.
Sasa hapa kuna wivu gani?Anachotaka kujua kama dual citzenship ina apply ktk nchi hii ili milango iwe wazi kwa yeyote atakaye,upo hapo?
 
Kwani passport inachangia nini katika haya mashindano........???

Inaonesha uraia wa mshiriki wa mashindano....Kwamba anatoka Tanzania,ni Mtanzania anayetuwakilisha katika shindano la mlimbwende mwenye asili ya India kwa ngazi ya Dunia(Miss India Worldwide)
 
Inaonesha uraia wa mshiriki wa mashindano....Kwamba anatoka Tanzania,ni Mtanzania anayetuwakilisha katika shindano la mlimbwende mwenye asili ya India kwa ngazi ya Dunia(Miss India Worldwide)
Sasa kama ni hivyo, basi hatuna sababu ya kuhoji kwani si tunajuwa alipotwaa umiss TZ si tunajuwa alikuwa raia wa wapi ................ na hao washiriki wengine si wapo kama alivyo yeye...??? kwa nini huyu wa TZ ndo tuhoji sana.....??? UBAGUZI TUUU HAMNA JINGINE
 
Sasa hapa kuna wivu gani?Anachotaka kujua kama dual citzenship ina apply ktk nchi hii ili milango iwe wazi kwa yeyote atakaye,upo hapo?

Hivi ishu ya Dual citizenship inatoka wapi hapa jamani?..hili shindano ni sawa na wewe leo uamue kuanzisha shindano la kumsaka mrembo mwenye asili ya Tanzania aliye na uraia wa nchi nyingine(Miss Tanzania worldwide)...Tutakachoangalia hapa ni kitu kimoja,uasili wa mshiriki,kwamba anatakiwa awe na asili ya Tanzania(japo ni raia wa nchi nyingine)

So kwenye hii Miss India worldwide kinachoangaliwa ni uasili wa mshiriki(kwamba lazima awe na asili ya India) na ni raia wa nchi nyingine(hana uraia wa India)....Maana hata India wenyewe kama nchi hawana Dual Citizenship(na hawaitaki) wana Single Citizenship kama sisi Tanzania
 
Sasa kama ni hivyo, basi hatuna sababu ya kuhoji kwani si tunajuwa alipotwaa umiss TZ si tunajuwa alikuwa raia wa wapi ................ na hao washiriki wengine si wapo kama alivyo yeye...??? kwa nini huyu wa TZ ndo tuhoji sana.....??? UBAGUZI TUUU HAMNA JINGINE

Kweli kabisa mkuu,kinachowasumbua watu wengi wanaompinga Richa hapa ni ubaguzi tu....Hakuna kingine
 
Kweli kabisa mkuu,kinachowasumbua watu wengi wanaompinga Richa hapa ni ubaguzi tu....Hakuna kingine

Sio ubaguzi mkuu, Ni hawaelewi shindano linahusu nini! Wamesoma na kuelewa Miss India na kufananisha na Miss Tanzania!!
 
Sio ubaguzi mkuu, Ni hawaelewi shindano linahusu nini! Wamesoma na kuelewa Miss India na kufananisha na Miss Tanzania!!
Kama hawafikirii ubaguzi basi wangeanza kwa kuuliza............ na si kutaja mambo hovyo hovyo..mara dual citizenship......mara alisafiri na passport gani.........
 
According to you ,Kwa hiyo Radhia ni Muhindi?Ni kitu gani sasa kinachofanya Radhia atambuliwe kama Mhindi?

Richa ana asili ya kihindi. Her ancestors originally came from India then settled in Tanzania. Yeye kazaliwa hapa Tanzania na wazazi ambao pia wamezaliwa Tanzania kwa hiyo she is 100% Tanzanian lakini ana asili ya Kihindi.
 
Mitanzania mingine ina wivu wa kijinga sana. Inakuuma kuona huyo mdada ana miliki passport mbili?.
sina uhakika na utimamu wako unaonekana upo ku crash tu na msingi halisi wa nini umekisikia na ukijadili vipi, ama wewe unamiliki kundi la majangili hivyo umeguswa
 
Tukiacha na issue ya Radhia but i hate indians hata kama kazaliwa tanzania... Yani namuunga mkono iddi amini alivyowatimua ni washenzi ...
Wanaua wanafunzi wetu wa kitanzania kule india, i hate this red monkeys..
 
According to you ,Kwa hiyo Radhia ni Muhindi?Ni kitu gani sasa kinachofanya Radhia atambuliwe kama Mhindi?

Radhia ni Mtanzania mwenye asili ya India!! Serikali ya India inatambua uwepo wa watu wenye asili ya India nje ya nchi hiyo na ni raia wa nchi wanazoishi. Haya mashindano yanawahusu watu wenye asili ya India but are in the DIASPORA!!
 
Hivi tatizo liko wapi, kwenda kushiriki mashindo ya watu wenye asili yakihindi au kuwa mtanzania na hapa hapa mhindi?kabla hujaweka post hapo jaribu kulitazama swali lako kwanza ,sio kukurupuka na mambo ambayo huyajui ,au fanya utafiti kwanza mkuu!!!!
 
Hapo ndipo ninapochoka na wabongo, alishinda Miss TZ mlikubali kwa shingo upande sana na mpaka watu walikuwa wananyamazana kwa kusema tumkubali na tuache ubaguzi. Sasa ameende mahali ambapo na yeye anahaki na hatabaguliwa mnajidai ni ubaguzi tena.

Kama kungekuwapo na dual citizenship ingekuwa poa lakini Membe analifanyia kazi na bunge lijalo tu wabongo wataruhusiwa kua na uraia wa nchi mbili. Ukweli Richa si mmatumbi na anastahili kushiriki mashindano hayo kwa kuanzia na si Wema Sepetu.
 
Back
Top Bottom