Uhamiaji bwana!

muhandu

JF-Expert Member
Sep 25, 2011
311
82
Ni tarehe 17 Oct walikuja maafisa wawili wa kike pale bajaji(oppna sigara)wakakuta wahindi wanafanya kazi huku wakiwa hawana permit na passports.Kwa kuwa ni shamba lao waliondoka na mmoja wao SULESH baada ya masaa kadha alirudi.Walitoa mshiko.HAO NDO UHAMIAJI BWANA.JE KUNA SEHEMU NGAPI WANAPITA KUKUSANYA SALIO??!
 
Hakuna anayefuatilia kuhakikisha sheria za nchi zinafuatwa ndio maana wahamiaji ambao wanaishi kiharamu nchini idadi yao inazidi kuongezeka kwa kasi kubwa na baadhi ya maofisa pale Uhamiaji wanatajirika kupitia migongoni mwa hao wahamiaji haramu.
 
Na mara nyingi wanaongoza kwa unyanyasaji.matusi ya nguoni kufukuza wafanyakazi kiholela ili mradi tu hatuna amani kazini.mbaya zaidi kila muhindi ni boss wan wagawana dada zetu kama pipi nao kwa kuogopa kufukuzwa wanajirahisi tu.
 
uhamiaji ndo mdudu gani wewe? unazungumzia TRA au?

maafisa uhamiaji (wanawake wawili)ndio waliokuja.wamekagua passports na kupewa kilicho chao.leo wamekuja TBS kama uliwaona wamekagua na kuondoka na chao pia.pale ni shamba.KWANI TRA WANA KAGUA P\PORTS????!!
 
Ni tarehe 17 Oct walikuja maafisa wawili wa kike pale bajaji(oppna sigara)wakakuta wahindi wanafanya kazi huku wakiwa hawana permit na passports.Kwa kuwa ni shamba lao waliondoka na mmoja wao SULESH baada ya masaa kadha alirudi.Walitoa mshiko.HAO NDO UHAMIAJI BWANA.JE KUNA SEHEMU NGAPI WANAPITA KUKUSANYA SALIO??!
Hao Wahindi kufanya kazi hapo Bajaji wanatakiwa wapewe Residence Permit Class B ambayo analipia $1500 kwa miaka 2 renewable.So jamaa wa Immigration wanapita hapo wanapewa labda Tsh 300,000/= mpaka Tsh 500,000/ wanakwenda zao.Kwa Dsm kwa Temeke na Ilala kuna Wahindi zaidi ya 1500 wanaishi kwa stahili hiyo(1500X500,000=750,000,000/=) watu wa Immigration wanatafuna kwa Temeke na Ilala.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom