UHALISIA: Kilichomtokea Dr. Ulimboka mwanzo-mwisho...

jamani kwann mmemtaja huyu Abdallah, tena majina yake yote.. consider him dead mpaka saivi, nadhani mwawajua hawa watu, imagine mwankyembe ametaka kuuawa ingawa report keshaisoma bungeni..

muwe unakumbuka hivi vitu jama
 
Kwa maelezo hayo ya Dr. Ulimboka juu ya njia na nyumba ya mateso,sina shaka tena juu ya nani amehusika. Sasa nawajua. Naijua na nyumba husika. Ni TISS.Mungu amsaidie kupona haraka. Nitachukua hatua...
Acha unafiki wewe, si unatumia jina la bandia hapa, unaogopa nini kutaja kabisa jina la huyo muuaji? Kwani maana ya we dare to talk openly ni nini? Hebu funguka basi tumjue mhusika, hakuna haja ya kufichaficha ilihali upo under cover.
 
Somebody did it to please his boss He ordered ****ing POP OO to do It. But Mungu ni Mkubwa,Magamba 2015 is so near,Tunisia and Iraq or Lybia not too far from Tanzania,chezeni na wadanganyika ila yupo Mungu anae wajari watu wake.Farao was so powerfull,Sadam was so powerfull, Gadafi was so powerfull,Samweli do was so power full alitembezwa na toroli nchi nzima,Gadafi ....... Hawa wote wamekufa vifo vya ajabu na familia zao kupotea mbele ya uso wa dunia,Leo hii MToto wa Nyerere au Mandela anaweza kujitambulisha ata manzese au soweto akapewa geto akalala na msosi akapewa! Je mtoto wa abacha,samweli Dore,sadam,gadafi au Mubarak atatjitaja wapi wampokee? Mungu awape ufaamu wanasiasa wajue kuwa vijisent wanavyojikusanyia ni umauti wao na damu ya watoto wao CCM hoyeeee


Sikio la kufa...
 
Mwalim alisema mtu anayetaka sana kwenda Ikulu na anataka kwenda ikulu kwa kutumia pesa ni mtu wakuogopa kama "UKOMA". Kama anatumia pesa kwenda ikulu, kapata wapi hizo pesa? na kama amekopa, atalipaje?. Ilulu kuna biashara gani hata mtu autafute urais kwa njia ya mapesa? Ikulu ni mahali patakatifu.

Wote tunajua jinsi wanamtandao walivyokwenda na jiwe la 'FATUMA' yaani EPA pale BoT na kufanikisha kuvunja milango ya BoT na kupola mapesa kwaajili ya biashara ya kampeni za urais. "That was purely organized crime" all of them are criminals of the highest degree. Sasa kama hawa wahalifu walitumia njia za kihalifu kupata madaraka, ni sharti watumie njia za kiharifu kuyalinda. Fall back ya hawa wanamtandao iliyobaki ni UDINI tu, otherwise wameshapoteza legitimacy ya kutawala.

Udhalimu na unyama wa namna hii hata makaburu hawakuwahi kuwafanyia wapiganaji wa ANC otherwise akina mandela wangekuwa vibogoyo, vilema n.k. Nchi yetu ilipoteza resources nyingi sana kupinga udhalimu kusini mwa Africa. Inakuwaje watawala wetu wasasa wanafanya UNYAMA NA UDHALIMU ambao hata kaburu hakuwahi kuwafanyia wazalendo wa south Africa?

It is high time these people to resign. Shame on you!
 
Kuna kitu sielewi hapa uyo rafiki yake alokua nawe kwanini hakwenda kutoa report polisi wakati anaona mwezie anachukuliwa.....nayeye alikuaje akubali kwenda kukutana nawatu asowajua kwenye maeneo tata tena usiku?kunakitu hakiko sawa hapa
 
hii vita ya serikali na madokta imetufikisha hapa!looooh

Pole Uli, serikali itavuna ilichopanda
 
this should be a good lesson to other vimbelembele....lazima mjue nchi haichezewi hovyo hovyo eboo

Mujumba tuondolee matapishi yako hapa, anayechezea nchi ovyo ni nani kama sio nyie dhaifu, unatoa comment kama uko washroom! mengi yameshasemwa humu tena kwa mifano hai juu ya hatma ya madhalimu wa haki za binadamu. tz sio yenu peke yenu. mmeshindwa kukamata mafisadi, mnaona fahari kwa ku adopt tabia za wanyama, eti lesson...!

kumbuka kila kitu kina mwisho wake.

he loughs better who loughs last.

Eeee baba Mungu tunakuomba utuondolee watz mateso haya yatokanayo na tamaa za wachache kujilimbikizia mali, uwaguse pia waliotiwa upofu kwa kutumikia mabwana zao kiasi cha kutoa comment kama ya huyu mlevi.

amen.
 
Last edited by a moderator:
Kwa mara nyingine nimpe pole sana Dr. Uli, pamoja na kumtakia heri apone haraka. Mwenyezi MUNGU amtangulie na kupigania huko alikokwenda kupata matibabu zaidi.

Suala la ushiriki wa serikali hii dhaifu ktk utekaji, utesaji, na (mpango mzima ulioshindwa wa) kumuua Dr. Ulimboka viko wazi sana, na ushahidi wa aina zote kwa asilimia 99.8 unathibitisha ccm na serikali yake kuwa ni wao peke yao kupitia Ikulu walipanga na kutekeleza unyama huu.

Kwa maelezo haya ya mtekwaji, ni wazi kuna mtandao mpana na mkubwa wa wauawaji ktk serikali hii (anzia Ikulu mpaka DC offices) ambao umeamua kutumia kodi za wananchi wa Tz kuwaangamiza. k

Ni wazi kuwa kila mmoja wetu achukue tahadhari kuanzia sasa, maana wote tumewekwa kwenye hali ya hatari (victimazation state). Sambamba na hilo lazima tuje na mkakati kazi wa kuing'oa hii serikali ya ccm, 2015 ni mbali sana na hasara itakuwa kubwa sana.

Kwa kuanza:
1) Tususie vitu kama polisi jamii (ambayo kimsingi vimekuwa ni kuhalalisha utendaji mbovu wa PT)
2) Tususie ulipaji wa baadhi ya kodi
3) Tususie kutoa huduma kwa baadhi ya watendaji (ngazi za kati na juu) wa serikali hii
4) Vyama vya siasa na wanaharakati waweke utaratibu wa kufanya mikutano/makongamano/maandamano ktk angalau mara 2 kila mwezi
5)
 
akili ya udr ulimboka iko faste sana....kwanza kitendo cha kukumbuka namba ya dr deo ina anavyoeleza inaonyesha akili yako iko fasta...watu kama@zomba wanaingia 5000000000.

kila lakheru dr. tushajua nani yko nyuma ya mchezo..kikwete katua rwanda saa moja lililopita.
 
.
Hivi gazeti la Kubenea litatoka lini? Nalisubiri kwa hamu kwani ndilo lenye uthubutu thabiti!!
.

litaandika hayahaya yaliopo humu ya gari jeusi lisilo na namba! Mwanahalisi na lenyewe linaandika kiblogblog....mwaandishi stori nzima ameunganisha posts za watu humu, nachoka kabisa.
 
Kweli seikali dhaifu na kila kitu dhaifu. Ina maana intelijensia zao ziliwatuma kuwa huu mgomo una mkono wa mtu? Sasa mbona hawajapata kitu? Yaani natamani serikali ianguke muda wowote, tupate utawala mwingine.
 
Hivi uyo kibaraka wa ikulu aliempigia cmu hajakamatwa?
 
Somebody did it to please his boss He ordered ****ing POP OO to do It. But Mungu ni Mkubwa,Magamba 2015 is so near,Tunisia and Iraq or Lybia not too far from Tanzania,chezeni na wadanganyika ila yupo Mungu anae wajari watu wake.Farao was so powerfull,Sadam was so powerfull, Gadafi was so powerfull,Samweli do was so power full alitembezwa na toroli nchi nzima,Gadafi ....... Hawa wote wamekufa vifo vya ajabu na familia zao kupotea mbele ya uso wa dunia,Leo hii MToto wa Nyerere au Mandela anaweza kujitambulisha ata manzese au soweto akapewa geto akalala na msosi akapewa! Je mtoto wa abacha,samweli Dore,sadam,gadafi au Mubarak atatjitaja wapi wampokee? Mungu awape ufaamu wanasiasa wajue kuwa vijisent wanavyojikusanyia ni umauti wao na damu ya watoto wao CCM hoyeeee
Sijui wanashindwa nini kutumia akili walizonazo, nguvu kazi waliyonayo, madaraka waliyonayo kuwasaidia watanzania na hatimaye wote tukaishi kwa furaha, upendo na umoja ukazidi. Na haya mambo hayajaanza leo, kilichofanywa na JK ni kuruhusu uhuru wa kusema which was a crisis during the BWM admnistration.
 
Back
Top Bottom