UHALISIA: Kilichomtokea Dr. Ulimboka mwanzo-mwisho...

Daah hii nchi tunakokwenda kubaya, ila mungu mkubwa dr hajafa, hao jamaa walijua wameua ila wamechemsha.Damu na maumivu yako ni chachu ya mgomo.Aluta continua.
 
Mmmh haya maeneo ya Leaders hapa ndo wapi nadhani kuna umuhimu wa kuitaja hiyo sehemu waloenda kukutania kwa uwazi zaidi, kwa kusema tu maeneo ya Leaders haitoshi, na wakati wanafanya mazungumzo yule jamaa walokua wako naye kimazungumzo alikua anaongea na simu muda mrefu akiwa nao Je hiyo simu alokua anaongea nayo ilikua na connection yoyote na kikao kile au hata kwa kuelekeza kuwa wapo sehemu flan jirani na Leaders Club?

JOPo Huru.Com
 
Last edited by a moderator:
IKULU ina laana,imechafuka,if i was to be the next president nahisi nisingekaa pale,UDHAIFU ni hatari!
 
Mwananchi wako deep sana ila Ulimboka jasiri sana kwani mtu wa kawaida lazima utajuta we kutolewa meno,kucha bila ganzi mmmmh hapana kweli jamaa shujaa ambae hajatokea tz hii
 
Sumaye mwaka 2005 alisema kiongozi anayeingia madarakani kwa kutumia kalamu(magazeti)kuchafua wenzake huyo akipata madaraka atatumia risasi(unyama)kuhakikisha anabaki madarakani. Wakati ule sikumwelewa au niliona anapoza maumivu ya kushindwa ndani ya chama chake.
Ila sasa imejidhihirisha wazi kuwa kwa mwendo huu wale wote wanaoipeleka mbio serikali hii dhaifu usalama wao uko mashakani. Ila naomba niwakumbushe hao watawala,ICC ipo na bado haina kesi nyingi kiasi cha ku ignore baadhi ya kesi
 
Very sad, kama kweli IKULU ina mkono katika hili ni aibu iliyoje kwa utawala wa baba Mwana-asha..! Shemone Mr. president and your government.
 
Mwea why didn't you disclose the source (Mwananchi newspaper). Is that story your's? dont fool us
 
Last edited by a moderator:
Somebody did it to please his boss He ordered ****ing POP OO to do It. But Mungu ni Mkubwa,Magamba 2015 is so near,Tunisia and Iraq or Lybia not too far from Tanzania,chezeni na wadanganyika ila yupo Mungu anae wajari watu wake.Farao was so powerfull,Sadam was so powerfull, Gadafi was so powerfull,Samweli do was so power full alitembezwa na toroli nchi nzima,Gadafi ....... Hawa wote wamekufa vifo vya ajabu na familia zao kupotea mbele ya uso wa dunia,Leo hii MToto wa Nyerere au Mandela anaweza kujitambulisha ata manzese au soweto akapewa geto akalala na msosi akapewa! Je mtoto wa abacha,samweli Dore,sadam,gadafi au Mubarak atatjitaja wapi wampokee? Mungu awape ufaamu wanasiasa wajue kuwa vijisent wanavyojikusanyia ni umauti wao na damu ya watoto wao CCM hoyeeee
 
Well said mkuu..lkn unategemea nn kama serikali anapokea ushauri toka kwa lusinde, komba, maji marefu, nape, lukuvi, wasira, nagu, kombani werema, kova, chagonja...you name them.
 
Very sad, kama kweli IKULU ina mkono katika hili ni aibu iliyoje kwa utawala wa baba Mwana-asha..! Shemone Mr. president and your government.
Alitekwa na TISS, akapelekwa pale Makumbusho akateswa whole night then akapelekwa Mabwe via Mwng
 
Tungependa kupata waandishi wa habari shujaa watakaoweza kuweka hizi story kwenye magazeti na kwenye redio, ili kila mwananchi ajue serikali ya Kikwete ni serikali ya aina gani. Yafaa pia taarifa kama hii ifikishwe kwenye vyama vya wanaharakati, ili wasiendelee kusema watu wasiojulikana bali waseme moja kwa moja kwamba alitekwa na kuumizwa na serikali, ieleweke moja.

tusubiri nakala ya mwanahalisi.
 
Kwa maelezo hayo ya Dr. Ulimboka juu ya njia na nyumba ya mateso,sina shaka tena juu ya nani amehusika. Sasa nawajua. Naijua na nyumba husika. Ni TISS.Mungu amsaidie kupona haraka. Nitachukua hatua...
 
Back
Top Bottom